Wasanii wa Tanzania wengi wameishia Kidato cha pili, hawana elimu ndio maana wako hivyo walivyo

Wasanii wa Tanzania wengi wameishia Kidato cha pili, hawana elimu ndio maana wako hivyo walivyo

kuna mambo mawili watu hawajui knowledge na being educated ni vitu viwili tofauti.., na sanaa inahitaji knowledge being educated is just extra.., pia passing through education institutions does not mean you are educated..

Kutunga mistari hakuhitaji four figure..... (talent its either you have it or not...)
 
Mleta mada hajasema hawana hela. Amesema hawana uwezo mzuri wa kujieleza.
Sijui kwanini mnampiga mawe!

Kumbe wewe unaweza kuelewa hawa wanaotukana wana matatizo makubwa kiakili na sijui walisomea wapi hadi wanashindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki
 
Mkuu usicheke ni sawa na mtu kua maskini halafu anajifariji mbele za watu kua ni mipango ya Mungu
Daaaah! tuvumiliane tu mkuu wenye vielimu vyetu vya ngumbaru... muhimu uhai tu na vipesa vyetu vya nyanya!
 
Wakuu
Kiukweli hawa wasanii wetu wa Tanzania Baadhi sio wote story Zao kwenye kujieleza utajua tu wana matatizo vichwani mwao.
Wasanii wengi utasikia niliishia form two hata hawaeleweki na ndio maana wanaishi kwa kuigizawhadi wanakufa
Sisemi vibaya lakini mtu ambae hana shule kwa nchi zetu wanakua siowelewa na wanamatatizo mengi sana kwenye akili zao.
Mazingira, mazingira tuliyokulia full stop. Mbona wastani wengine wa nchi zilizoendelea wanafanya vizuri tu pia wanajua kujieleza
 
Afadhali hao walio ishia form two wanatengeneza pesa na hawalalamikii serikali kuhusu ajira, wengi wameajiri walio maliza hiyo form four....kikubwa zaidi wanatengeneza pesa ndefu ambazo wewe ulisoma ukiamini ndio chanzo cha kuzipata. Acha dharau.
Sawa wanatengeneza pesa wamefanya nin cha maana kwenye Tanzania movie industry, mtoa mada kuna uwezekano aja present mada vizur, lakin ni kweli kwamba ili bongo movie ikue inahitaji watu waliosoma
 
Wasanii wanawakilisha jamii wanayoishi, kwa kifupi watanzania wengi, hata hao walioenda shule bado hawajaelimika.
 
Kwanza nchi kuwa maskini ni dalili tosha watu wengi bado hawajaelimika Ata waliosoma hadi chuo nao hawajaelimika wapo vizuri kwenye uchambuzi wa mambo yanayoendelea sio kuitumia elimu yao kujitoa kweny umaskini
 
Back
Top Bottom