Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Hao wasanii wamekuwa Kama ....Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Picha tafadhali ya huo wingiWasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
KalioHao wasanii wamekuwa Kama ....
Wamejitokeza au wamelipwa? Wewe upo Dunia Gani?Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Kiongozi yeyote dhaifu hupendwa na watu dhaifu,hebu angalia mtu kama Traore yeye anakubalika na watu makini siyo chawaWasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Pesa za mabeberu tutazipataje ?CCM wafute huu mfumo wa vyama vingi ili waishi kwa Uhuru zaidi