Bei inatumika kwenye bidhaa na manunuzi.Wanalipwa bei gani hawa wasanii na mm nijiandae
WangeseHao wasanii wamekuwa Kama ....
wameonyesha uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa Taifa lao, Lakini pia wamadhihirisha mapenzi yao ya dhati kwa CCM.Wasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Mnawalipa bei gani hao mambugilawameonyesha u
wameonyesha uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa Taifa lao, Lakini pia wamadhihirisha mapenzi yao ya dhati kwa CCM.
well done Tanzania artists šŖš
Na teuzi huwezi jua DAS na DED kama nick wa tatuWanatafuta fursa ya kuwekwa kwenye listi ya watoa burudani ili kuongeza idadi ya watu kwenye kampeni
majukumu ya kizalendo hayana malipo gentleman šMnawalipa bei gani hao mambugila
Ova
majukumu ya kizalendo hayana malipo gentleman šMnawalipa bei gani hao mambugila
Ova
Duh..kweli wabongo sisi aiseešHii harambee inaruka chanel gani?
Nini sasaDuh..kweli wabongo sisi aiseeš
Kama nini?Hao wasanii wamekuwa Kama ....
HamnaNini sasa
Usk mwemaHamna
Hawajajitokeza wamekusanywaWasanii kibao kutoka tasnia mbalimbali wakiwasili Mlimani City jijini Dar es Salaam kunakofanyika uzinduzi wa harambee ya kuchangia kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu.