Wasanii Wajitokeza kwa Wingi Uzinduzi wa Harambee ya Kuchangia Kampeni za CCM Mlimani City

Wasanii Wajitokeza kwa Wingi Uzinduzi wa Harambee ya Kuchangia Kampeni za CCM Mlimani City

Ila CCM,,,!!! Nawakubali Kwa mipango mikakati na drama, hongereni sana Ila msisahau mna win Kwa sababu Watanzania wapo hohe hahe, masikini ya Mungu hawajui nini hatima na haki yao. Sidhani Kwa type ya majirani zetu kama hizo swaga mngetoboa
 
Back
Top Bottom