Pre GE2025 Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!

Pre GE2025 Wasanii wakata Keki ya birthday ya Rais Samia na kutoa zawadi ya Mitungi Soko la Feri! Wakitoka hapo wanapitisha kikombe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache?

=====

Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukata keki katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri lililopo Dar es Salaam.

Wasanii hao pia wametoa zawadi na msaada wa mitungi ya gesi na mavazi ya kupikia kwa Mama na Baba lishe pamoja na wafanyabiashara wengine katika soko hilo.

1737981130533.png

1737981172441.png

1737981196067.png
Screenshot 2025-01-27 153609.png
Screenshot 2025-01-27 153616.png
Screenshot 2025-01-27 153626.png
Screenshot 2025-01-27 153702.png
Screenshot 2025-01-27 153717.png
Screenshot 2025-01-27 153727.png
 
Attachments

  • Screenshot 2025-01-27 153652.png
    Screenshot 2025-01-27 153652.png
    663.9 KB · Views: 2
Ndiyo njia pekee iliyobaki. Kujipendekeza kwa wanasiasa wa chama tawala, ili wapewe nafasi ya kutumbuiza na kuvutia halaiki ya watu wakati wa kampeni.
 
Hawa sio wasanii ni wa...... malizia kilichokuja kichwani mwako (sa...se...si...so....su) 🐼
 
Adui wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe wala si M23, hao majirani mnawahofia bure
 
Taifa gas inamilikiwa na Rostam Aziz.

Alikuwepo kwenye kikao pale Dodoma, na Leo yupo hapo kwenye kikao cha Nishati.

The king maker on move.
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Wasanii wa tz ndio wanaoongoza kwa upumbavu ktk wasanii wote duniani.
 
Sikuona Uchawa namna hii enzi za Kikwete, au kwa sababu hakukuwa na utitiri wa social Media
 
Juntus waliwahi kushushwa toka serie A mpaka serie C huku AC Milani wakinyang'anywa nyiingi kidogo na washuke daraja kwa kosa la kupanga matokeo kama hili linalofanyika hapa kwa kuwasingizia hao waliotajwa.
 
wanaliwa pesa zao tu. Huko Dodoma wasanii walifanya nini? Wananchi wanajua usanii ni sawa na utapeli
 
Wakuu,

Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache?

=====

Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukata keki katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri lililopo Dar es Salaam.

Wasanii hao pia wametoa zawadi na msaada wa mitungi ya gesi na mavazi ya kupikia kwa Mama na Baba lishe pamoja na wafanyabiashara wengine katika soko hilo.

Hizi mbwa ndio zinaturudisha nyuma kwenye umasikini kwa uchawa wao na kujipendekeza. Pambafff
 
Back
Top Bottom