Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Balaa sana, japokuwa tunajua hii mitungi imetoka CCM, hivi si wakirudi kuanza kulialia kwa watanzania kuomba msaada tuwakache?
=====
Baadhi ya wasanii wa filamu nchini kwa kushirikiana na ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, wamesheherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukata keki katika Soko la Kimataifa la Samaki la Feri lililopo Dar es Salaam.
Wasanii hao pia wametoa zawadi na msaada wa mitungi ya gesi na mavazi ya kupikia kwa Mama na Baba lishe pamoja na wafanyabiashara wengine katika soko hilo.