ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,277
- 12,506
Anko T na yule wa diamond kosa lao ni kutumia vibaya nyara za serikali ila waziri kishawasameheWana makosa gani hadi wasamehewe?

Umejuaje kuwa govi!Katamba anataka kumtomba na govi lake.
Yeye ni nani anaita watu na kuwasamehe dhambiKasema wamesamehewa dhambi zao sio..
Sasa si bongo hiyo mkuu kawaita kuwasamehe dhambi zao na katangaza kuwa hawana dhambi wapo huru sisi tufanyeje.Yeye ni nani anaita watu na kuwasamehe dhambi
Wanapigwa miti
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho.
Katambi amesema hayo Septemba 2, 2026 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao hicho ambapo amesema wasanii hao walikuwa na mashtaka mbalimbali lakini Wizara hiyo imekaa na waliowashtaki na kuzungumza nao juu ya kuwasamehe lakini pia wasanii na watu hao maarufu leo wamepewa elimu kwani wako waliokiri kuwa makosa waliyokuwa wanayoyafanya hasa mitandaoni hawakuwa wakifahamu ni kosa kisheria.
Ameeleza kuwa Anko T na Noel(Mwanamitindo wa msanii Diamond Platnumz) wamesema wapo nje ya nchi huku wakitakiwa kurudi nchini.
Italeta Ugali mezani pako!?Niffer akamatwe
USSR
😂😂😂😂😂😂😂Sasa si bongo hiyo mkuu kawaita kuwasamehe dhambi zao na katangaza kuwa hawana dhambi wapo huru sisi tufanyeje.
Anko T na yule wa diamond kosa lao ni kutumia vibaya nyara za serikali ila waziri kishawasamehe
Mtu yeyote anayefanya biashara wakiamua kumscan tu makosa hayakosekani japo nahis kama ule wito wao utakua na uhusiano na maudhui na mienendo yao kwenye mitandao ya kijamii.Recently nimekuwa nikimfuatilia sana kwenye page zake
Sijaona Sehemu yoyote alipokosea.
Labda wangeweKa wazi makosa ya hao walioitwa.
ANko T,Juma Lokole na Noel walishitakiwa kwa makosa gani? Noel na Anko T ni Mlendamlenda kabisa waziwazi kidogo Juma ni Mchicha Mwiba Wali Nazi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho.
Katambi amesema hayo Septemba 2, 2026 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao hicho ambapo amesema wasanii hao walikuwa na mashtaka mbalimbali lakini Wizara hiyo imekaa na waliowashtaki na kuzungumza nao juu ya kuwasamehe lakini pia wasanii na watu hao maarufu leo wamepewa elimu kwani wako waliokiri kuwa makosa waliyokuwa wanayoyafanya hasa mitandaoni hawakuwa wakifahamu ni kosa kisheria.
Ameeleza kuwa Anko T na Noel(Mwanamitindo wa msanii Diamond Platnumz) wamesema wapo nje ya nchi huku wakitakiwa kurudi nchini.
Wanasema Anko T na Noel watajiridhisha kuona kweli wapo nje ya nchi.Mtu yeyote anayefanya biashara wakiamua kumscan tu makosa hayakosekani japo nahis kama ule wito wao utakua na uhusiano na maudhui na mienendo yao kwenye mitandao ya kijamii.
Wameuza marinda ya ummaNyara gani? Em itaje hapa?
Walikuwa wanataka kuyaona makalio ya pipytida.....
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho.
Katambi amesema hayo Septemba 2, 2026 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao hicho ambapo amesema wasanii hao walikuwa na mashtaka mbalimbali lakini Wizara hiyo imekaa na waliowashtaki na kuzungumza nao juu ya kuwasamehe lakini pia wasanii na watu hao maarufu leo wamepewa elimu kwani wako waliokiri kuwa makosa waliyokuwa wanayoyafanya hasa mitandaoni hawakuwa wakifahamu ni kosa kisheria.
Ameeleza kuwa Anko T na Noel(Mwanamitindo wa msanii Diamond Platnumz) wamesema wapo nje ya nchi huku wakitakiwa kurudi nchini.
Watoe taarifa kwa Nani? Wewe unataarifa za watu wote walio nje ya nchi?Wana dharau hao kama walijua wapo nnje ya nchi kwanini wasitoe taarifa