Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa bado Anko T na Niffer ambao hawakufika

Mamba's 24 hawezi kutokea anasema yeye hawezi kwenda na watu wanaopigwa miti 😂 😂 you better watch you back
 
Wanapigwa miti
 
ANko T,Juma Lokole na Noel walishitakiwa kwa makosa gani? Noel na Anko T ni Mlendamlenda kabisa waziwazi kidogo Juma ni Mchicha Mwiba Wali Nazi.
 
Mtu yeyote anayefanya biashara wakiamua kumscan tu makosa hayakosekani japo nahis kama ule wito wao utakua na uhusiano na maudhui na mienendo yao kwenye mitandao ya kijamii.
Wanasema Anko T na Noel watajiridhisha kuona kweli wapo nje ya nchi.
Mbona hiyo effort hawaweki kuwatafuta ndugu zetu waliopotea hadharani wakiwa humuhumu nyumbani Tanzania
 
Walikuwa wanataka kuyaona makalio ya pipytida.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…