Kwa yule ambae kawafikishia witoWatoe taarifa kwa Nani? Wewe unataarifa za watu wote walio nje ya nchi?
Nimeona pia wameshika karatasi yenye maandishi ya kusamehewa dhambi zao bongo mimi sihami aisee..😂😂😂😂😂😂😂
Sisi tunasema Asante Katambi kwa kuwasamehe watu dhambi zao.
Hata wao hadi wanatawanyika hawakujua kama waliitwa kwa sababu ya kufanya makosa au kuchukuliwa attendanceMbona hamsemi makosa yao ili na sisi tujue?
Kuitikia wito ndio msamaha wenyewe, usihoji kosa. Kukataa kuitikia wito ndio kosa lenyeweWana makosa gani hadi wasamehewe?
Mnaokaa nje ya bongo mnakosa mengi😂😂😂😂😂🙌Nimeona pia wameshika karatasi yenye maandishi ya kusamehewa dhambi zao bongo mimi sihami aisee..
Mwezi huu narudi aisee nikipita Mbeya pana maziwa ya mgando hapo Kiwira msikitini ukichukua Lita kumi,viazi na ndizi zao unasota nazo tu ndani ukiendelea kuangalia maigizo ya kila siku...Mnaokaa nje ya bongo mnakosa mengi😂😂😂😂😂🙌
Acha siai tuenjoy na Tanzania yetu.
Kwanza humo ndani hao wasanii wakageuza kijiwe cha stori na soga zao.
Ukifika niambie nikupe maziwa lita5Mwezi huu narudi aisee nikipita Mbeya pana maziwa ya mgando hapo Kiwira msikitini ukichukua Lita kumi,viazi na ndizi zao unasota nazo tu ndani ukiendelea kuangalia maigizo ya kila siku...
Hata wewe unaweza kumsamehe mhalifuKatambi ni Mahakama au ni nini?
Kuna Mahakama inaitwa Katambi huko Tanganyika?
Anawasamehe kama nani? Aache kuleta taharuki na mambo ya kisekondari.
Kikojozi sana huyu.
Kwani wewe huwezi kutoa msamahaKwani hao walioitwa wana makosa gani? Ba yeye Katambi anatoa msamaha km nani?
Ok sawa upo Mbeya?Ukifika niambie nikupe maziwa lita5
Ukipita Tukuyu nibebee ndizi tu.
Karibu kuteseka na vumbi😂
Vumbi linatimka utasema tumepata kimbunga.
Ndiyo Mkuu,Ok sawa upo Mbeya?
Amewafanyia marketing kinoma..mimi sikuwa namjua huyo Anko t. Ina maana nimekuwa mende ningekapa odaNi kuwapa airtime tuu hao machangudoa wa online na mabwabwa wa mjini...sikuona cha maana hapo walichoitiwa
Daah Isanga si home kabisa kwa Mama hapo aisee upo Kanisa la Moravian,Sabato au kule juu Lutheran...Ndiyo Mkuu,
Karibu Isanga😀
Isanga napenda sana mishkaki ya pale standDaah Isanga si home kabisa kwa Mama hapo aisee upo Kanisa la Moravian,Sabato au kule juu Lutheran...
Tumecheza sana mpira Ilolo