Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
WIVU!!Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models
Kwaiyo unawashauri nini waliofungua ofisi za ushauri wa maswala ya kifedha?Ohh atafulia, mara sijui atafilisika kwani wewe mleta mada huyu msanii akifulia wewe inakuuma nini?
Umeandika kwa majonzi utafikiri huyu msanii ni mjomba ako au baba ako mdogo kiasi unaogopa asifulie.
Mwache afulie maana hata akifulia bado hatakuja kwako kukuomba maji ya kusuuzia.
Maisha yake jasho lake ni kumuacha aishi apendavyo.Kwaiyo unawashauri nini waliofungua ofisi za ushauri wa maswala ya kifedha?
Kwaiyo sis financial advisors tufe njaa?Maisha yake jasho lake ni kumuacha aishi apendavyo.
Tafuta ajira kwingine kwani zipo nyingi tu.Kwaiyo sis financial advisors tufe njaa?
Kwingine ambako hakuna hela?Tafuta ajira kwingine kwani zipo nyingi tu.
Diamond kufika alipofika ni ubunifu wake hii tabia ya kumzodoa ni ushamba mwingine.
Ndugu yangu achana na maisha ya watu unaonekana unateseka sana na maisha ya wenzio kiasi unampangia maisha yake?? Kweli ubinadamu kazi. Kwani ni lazima aupgrade kila mwaka? Kwani ni lazima afanye hayo yote uliyo ya sema? Em kaa mbali mkuu na maisha ya watu. Mara hii unasema mwakani atalipaki? [emoji38] jamani why this? Mbona una husda wewe? Aibu yako ikushike na kizazi chako chote. Mp...uuzi mmoja weweHakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.
Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.
Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,
Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....
Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Ni wivu TuHakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.
Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.
Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,
Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....
Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Atakuwa ndio Mwijaku nini?Huyu mwamba instagram anaumia sana na mafanikio ya dai... alileta uzi hapa kuwa jamaa kavaa saa fake kulingana na wataalamu wake wa buza vichochoroni... kanunua RR kaumia kweli utafikiri kaachwa na demu wake!
Mzee zile ndala zako za umoja ulizonunua mwaka juzi mbona mpaka leo unazo? hujui km kuna toleo jipya limeingia pale mwenge unapoendaga kuchek viwalo vyako?
[emoji23]Kidume saivi ni anaeweka hela kwenye simu,ndio kidume aliebaki
kusema watu ambao sijafikia hata nusu yao huwa naonaga ni kujichuria tu
We mchawi unateseka ukiwa wapi..???Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.
Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.
Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.
Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,
Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....
Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Hateseki mkuu sisi Ni watanzania sifa yetu upendo ,umoja na mshikamano kwaio anamshauri ndugu yenu big aache kufanya kufuru ya matumizi ya pesa kwa sababu Kuna watu walishafanya Ivo na madhara tunayaona mpaka leo wamefilisikaMateso unayopata sio ya ulimwengu huu..yote hii kwa pesa na matumizi ya mtu mwingine. GTFOH
Atafute mwenyew na kutumia mumpangie.. Eti anamshauri ye naniiiii.??? Kila mtu acheze mechi zakeHateseki mkuu sisi Ni watanzania sifa yetu upendo ,umoja na mshikamano kwaio anamshauri ndugu yenu big aache kufanya kufuru ya matumizi ya pesa kwa sababu Kuna watu walishafanya Ivo na madhara tunayaona mpaka leo wamefilisika
Nimekula blokuWe mchawi unateseka ukiwa wapi..???