Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

Pole mkuu, umeandika kwa maumivu mno. Mafanjkio ya wengine yanakuumiza kichizi ndgu yangu.
Punguza hiyo hali mzebaba utajifia mapema kwa chuki zisizo na msingi.

Huyo mtu tambo hajazianza leo ni kitambo toka katoka kimziki ila haters kama wewe hiyo gari ndio imewauma mnooo.

Kwani pesa ni ya nini labda?? Umetafuta kwa tabu afu instagram akuchagulie ununue nini kisa flani alinunua akafirisika 😂😂
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models
WIVU!!
 
Ohh atafulia, mara sijui atafilisika kwani wewe mleta mada huyu msanii akifulia wewe inakuuma nini?

Umeandika kwa majonzi utafikiri huyu msanii ni mjomba ako au baba ako mdogo kiasi unaogopa asifulie.

Mwache afulie maana hata akifulia bado hatakuja kwako kukuomba maji ya kusuuzia.
 
Kwaiyo unawashauri nini waliofungua ofisi za ushauri wa maswala ya kifedha?
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.

Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.

Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.

Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,

Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....

Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Ndugu yangu achana na maisha ya watu unaonekana unateseka sana na maisha ya wenzio kiasi unampangia maisha yake?? Kweli ubinadamu kazi. Kwani ni lazima aupgrade kila mwaka? Kwani ni lazima afanye hayo yote uliyo ya sema? Em kaa mbali mkuu na maisha ya watu. Mara hii unasema mwakani atalipaki? [emoji38] jamani why this? Mbona una husda wewe? Aibu yako ikushike na kizazi chako chote. Mp...uuzi mmoja wewe

Kwa kifupi maisha hayana formula na kaa mbali sana na maisha ya watu, hao wote unao wataja hamna hata mmoja alie wai fika levo za uyo mtu unae mwekea chuki, mtu ame maintain on top back to back zaidi ya miaka 10 sio kitu cha mchezo.
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.

Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.

Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.

Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,

Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....

Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
Ni wivu Tu
Pole sana
 
Huu upepo uliopo hapa celebrity forum inapaswa tuuzoee tu......
 
Ametimiza ndoto ya kuwa,kumiliki na kuendesha gari ya ndoto zake hilo ndio la msingi.
Hajasema atakuwa anachange kila toleo. Ametimiza ndoto kwa pesa yake.

Tuset ndoto zetu na sisi tuzitimize tusiwe na makasiriko na wivu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Huyu mwamba instagram anaumia sana na mafanikio ya dai... alileta uzi hapa kuwa jamaa kavaa saa fake kulingana na wataalamu wake wa buza vichochoroni... kanunua RR kaumia kweli utafikiri kaachwa na demu wake!

Mzee zile ndala zako za umoja ulizonunua mwaka juzi mbona mpaka leo unazo? hujui km kuna toleo jipya limeingia pale mwenge unapoendaga kuchek viwalo vyako?
Atakuwa ndio Mwijaku nini?
 
Kidume saivi ni anaeweka hela kwenye simu,ndio kidume aliebaki

kusema watu ambao sijafikia hata nusu yao huwa naonaga ni kujichuria tu
 
[emoji23]

Umefanya na mimi nijione kidume
 
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022, 2023 nakazalika otherwise utachekwa na kina Davido na wengine wapya watakao upgrade newer models.

Sasa wewe msanii umekaa miaka 10 unaota kununua Rolls Royce sasa umepata vihela vyako vya madafu umeenda marekani umevuta bangi ukajiona umepiga picha na wasanii wakubwa sasa unaendana na hadhi zao ukaona uvunje kibubu chako chote ununue Rolls Royce sawa sasa umeingia mtego jomba mwakani inatoka black badge ya 2022 Davido ataposti ya kwake je na wewe je utaendana na mwendo wake au utaishiwa pumzi nguvu za soda.

Kulikuwa na msanii alipiga hela bwana kwa siku alikua ananunua corolla tatu mfululizo kwa viitikio vya chekechea kapiga bangi zake na masaa 24 kashika chupa lake la konyagi, wewe sijui unaweka nini kwenye viglasi vyako vyekundu masaa 24 labda hennessy, ila bwana mwenzio wa ukuti ukuti kafulia chali.

Mike tyson alikuwa na hela chafu kwa siku alikua ananunua Rolls Royce nne kafulia chali...,

Mc hammer alikua msanii mkubwa dunia nzima ukitoa Michael jackson enzi hizo alipiga hela mbaya sana alikua na chawa kama wote ananunua Rolls Royce alafu anasahau kama alinunua Rolls Royce ananunua tena kumbe iko kwa cousin wake. Kafulia fasta....

Msanii ujue kwamba ku maintain status quo kwa presha za wanaharakati wa mitandaoni ni kujitafutia anguko lako, wote tunajua hela hiyo hunaa, sijui umefanyaje fanyaje ila tuna uhakika mwakani Rolls-royce black badge 2022 hutoboi, kama una pumzi tuletee kontena jipya mwakani kama hujauza vikorokoro vyako vyote. Alafu hizo Gari mwaka moja unatakiwa uipaki trust me hakuna fundi atagusa hiyo labda uiache ndani kama pambo.
We mchawi unateseka ukiwa wapi..???
 
Mateso unayopata sio ya ulimwengu huu..yote hii kwa pesa na matumizi ya mtu mwingine. GTFOH
Hateseki mkuu sisi Ni watanzania sifa yetu upendo ,umoja na mshikamano kwaio anamshauri ndugu yenu big aache kufanya kufuru ya matumizi ya pesa kwa sababu Kuna watu walishafanya Ivo na madhara tunayaona mpaka leo wamefilisika
 
Atafute mwenyew na kutumia mumpangie.. Eti anamshauri ye naniiiii.??? Kila mtu acheze mechi zake
 
Back
Top Bottom