Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Safari moja huanzisha nyingine, kuwa mlevi wa kupindukia halafu ukawa na Makundi ya ajabu ajabu utaishia kutumia vilevi hatarishi.
 
Kuna mmoja anaitwa rado alikuwaga anasomea ifm anatokea mwanza alikuwa na nywele ndefu. Dah nilimkuta kinondoni studio aisee nilisikitika sana alivoisha
Madawa hatare sana
 
Wanyamaaaa wa mjini wote wanakula unga yaani hadi simba nae anakula unga.....tatizo wasaniii wengi ni makontena
 
Wazo zuri ila sio kwa Tanzania aisee haiwezekani wasanii wote Tanzania wanamuogopa ruge kasoro lady jaydee tu na ndo deal zake hizo je itawezekanaje mkuu?
Lady jaydee Naye tayari keshapotea kwenye anga ya mziki,so sad aisee
 
Hivi kweli Young Dee hatumii?
 
Dalai lama aliwahi kusema tunapo kumbana na misukosuko katika maisha huwa tunareact either kwa kupoteza matumaini au kwa kuamua kupambana
matumizi ya unga mara nyingi ni viashiria vya kupoteza matumaini

When we meet real tragedy in
life, we can react in two ways--
either by losing hope and falling
into self-destructive habits, or
by using the challenge to find
our inner strength.
Dalai Lama XIV
 
Nilimuona Daz Baba nikamuonea huruma hapo Tabata Segerea hapo kwa Bibi, ni 'mifupa' tu, ila maskini hata hajisikii, ukionana nae lazima akupe hai.
Daaah aisee unayo sema ni kweli tupu me kuna siku asbh nimemuona kwa hapo sanene yupo kwetu pazuri na dada yake jamaa kachakaa mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…