talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
si ndo na wewe unarekebishwa kwenye uulizaji wako!ilibidi uulize ama he or she?au his or her?na sio he or her?Mimi nimemuuliza cjamrekebisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ndo na wewe unarekebishwa kwenye uulizaji wako!ilibidi uulize ama he or she?au his or her?na sio he or her?Mimi nimemuuliza cjamrekebisha.
Acha masihara mkuu.Mr. Nice siku hizi ni Dereva wa bajaji Kahama, Shinyanga.
Ha ha ha kwamba?!Unavyosema nyumbu unanikumbusha ukawaaaaa
kuna kipindi alienda kuchimba dhahabu za mtaroni chunya sasa cjui aliwezaje kubeba beleshiniliwahi kumuona tabata segerea kitambo kidogo kwenye club moja ya rufita mpaka niliona huruma mixer kawa kama msomali
Lady jaydee Naye tayari keshapotea kwenye anga ya mziki,so sad aiseeWazo zuri ila sio kwa Tanzania aisee haiwezekani wasanii wote Tanzania wanamuogopa ruge kasoro lady jaydee tu na ndo deal zake hizo je itawezekanaje mkuu?
bibi wa kiki fekero nae teja mda c mrefu gari litawaka
Wanyamaaaa wa mjini wote wanakula unga yaani hadi simba nae anakula unga.....tatizo wasaniii wengi ni makontena
Nilimuona Daz Baba nikamuonea huruma hapo Tabata Segerea hapo kwa Bibi, ni 'mifupa' tu, ila maskini hata hajisikii, ukionana nae lazima akupe hai.Daz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
Mi mpaka leo namuonea huruma q chillah alivyopotea kwenye game kutokana na hayo ma vitu na ferouz
Mungu wangu....kwa hiyo hana tena small intestine wala large intestine?Daz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
Daaah aisee unayo sema ni kweli tupu me kuna siku asbh nimemuona kwa hapo sanene yupo kwetu pazuri na dada yake jamaa kachakaa mbayaNilimuona Daz Baba nikamuonea huruma hapo Tabata Segerea hapo kwa Bibi, ni 'mifupa' tu, ila maskini hata hajisikii, ukionana nae lazima akupe hai.
Mungu wangu....kwa hiyo hana tena small intestine wala large intestine?
Teh Teh.....Mungu wangu....kwa hiyo hana tena small intestine wala large intestine?