Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Dalai lama aliwahi kusema tunapo kumbana na misukosuko katika maisha huwa tunareact either kwa kupoteza matumaini au kwa kuamua kupambana
matumizi ya unga mara nyingi ni viashiria vya kupoteza matumaini

When we meet real tragedy in
life, we can react in two ways--
either by losing hope and falling
into self-destructive habits, or
by using the challenge to find
our inner strength.
Dalai Lama XIV

Maneno mazuri sana haya. Yana mafundisho makubwa☝☝☝
 
TID Mnyama hana hata tena nguvu ya kunyanyua sim aina ya Tecno smartphone
Simfii ila kiukweli kuna kwa miaka aliyoanza unga huyu jamaa ni ngoma ngumu. ..watoto kibao km chiddy benz wameanza juzijuzi ila hawatamaniki. ..japo hastahili kukaa kwa mama mpaka leo ila hiyo ndo silaha yake yuko vile mpaka leo otherwise tungekuwa tumemsahau. ...ukila ngada maisha ya kigheto usipozeeka basi makalio utayaweka bond....nasikitika kusema kama watu wasipomkemea Ben pol soon hatochekana na chiddy benz
 
Heh! Q chillah nae ni mhanga?
Kweli wauza ngada ni jipu tambazi
Q chillah aliokolewa na haruna niyonzima ndo kidogo sasa ana afadhali ila ingekuwa tushamfukia yeye na ray c wake
Huu ni uthibitisho tosha kwamba wasanii wengi wanabebe sembe kwa njia moja au nyingine mfano ni matonya
 
Ben pol mbona naskia alikuwa anasoma ifm
 
T I D yuko hapa k studio amebakia kubadilisha nywele rangi kama mauwa ya saa nne au kinyonga yupo na bill nasi asipoangalia atamuharibu yule dogo mapemaa
Billnas mang'aa anajielewa. .ukisikia hata tetesi anagonga mambo ni pm..tutamnyoosha
 
Ben pol mbona naskia alikuwa anasoma ifm
Bab hiyo ya ndani nimekupa. .dogo anagonga sijui nani kamdanganya angekuwa mwana ningemchana kwani kwa maisha anayoishi hatoweza kujimaintain. ..soon mtamuona anavyopotea
 
unamaanisha ww uko nao karibu hao wasanii sio?
Bab hiyo ya ndani nimekupa. .dogo anagonga sijui nani kamdanganya angekuwa mwana ningemchana kwani kwa maisha anayoishi hatoweza kujimaintain. ..soon mtamuona anavyopotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…