Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia yule sema dogo anajifanya ana pesa kumbeHivi kweli Young Dee hatumii?
Mamaaaa mbona kama mtu wa kale aisee. Jamaa kaisha sana duuuh
Kaisha sana anasikitishaMamaaaa mbona kama mtu wa kale aisee. Jamaa kaisha sana duuuh
Huruma sana. Wasanii wengi wanapotea kwa madawaKaisha sana anasikitisha
yan kuona picha ukaaminDuuu huyu mwanzo sikuamini lakini nilivyo ona picha ndio nikaamini daaa
ha ha ha ha ha kazi kweli kweliTID Mnyama hana hata tena nguvu ya kunyanyua sim aina ya Tecno smartphone
Simfii ila kiukweli kuna kwa miaka aliyoanza unga huyu jamaa ni ngoma ngumu. ..watoto kibao km chiddy benz wameanza juzijuzi ila hawatamaniki. ..japo hastahili kukaa kwa mama mpaka leo ila hiyo ndo silaha yake yuko vile mpaka leo otherwise tungekuwa tumemsahau. ...ukila ngada maisha ya kigheto usipozeeka basi makalio utayaweka bond....nasikitika kusema kama watu wasipomkemea Ben pol soon hatochekana na chiddy benzTID Mnyama hana hata tena nguvu ya kunyanyua sim aina ya Tecno smartphone
Q chillah aliokolewa na haruna niyonzima ndo kidogo sasa ana afadhali ila ingekuwa tushamfukia yeye na ray c wakeHeh! Q chillah nae ni mhanga?
Kweli wauza ngada ni jipu tambazi
ni kwasababuumaarufu ni kitu kizito sana...kinaelemea akili na mfumo wa kufikiria.Vijana na ulimbukeni want hayo madawa siijui hata wanayapendea nini mtu akipata umaarufu kidogo tu lazma atumie
Ben pol mbona naskia alikuwa anasoma ifmSimfii ila kiukweli kuna kwa miaka aliyoanza unga huyu jamaa ni ngoma ngumu. ..watoto kibao km chiddy benz wameanza juzijuzi ila hawatamaniki. ..japo hastahili kukaa kwa mama mpaka leo ila hiyo ndo silaha yake yuko vile mpaka leo otherwise tungekuwa tumemsahau. ...ukila ngada maisha ya kigheto usipozeeka basi makalio utayaweka bond....nasikitika kusema kama watu wasipomkemea Ben pol soon hatochekana na chiddy benz
Billnas mang'aa anajielewa. .ukisikia hata tetesi anagonga mambo ni pm..tutamnyooshaT I D yuko hapa k studio amebakia kubadilisha nywele rangi kama mauwa ya saa nne au kinyonga yupo na bill nasi asipoangalia atamuharibu yule dogo mapemaa
Bab hiyo ya ndani nimekupa. .dogo anagonga sijui nani kamdanganya angekuwa mwana ningemchana kwani kwa maisha anayoishi hatoweza kujimaintain. ..soon mtamuona anavyopoteaBen pol mbona naskia alikuwa anasoma ifm
Sababu kuuni kwasababuumaarufu ni kitu kizito sana...kinaelemea akili na mfumo wa kufikiria.
Bab hiyo ya ndani nimekupa. .dogo anagonga sijui nani kamdanganya angekuwa mwana ningemchana kwani kwa maisha anayoishi hatoweza kujimaintain. ..soon mtamuona anavyopotea
Kweli...ngada hatari asiye amini atumieunga haujalibishwi ukigusa tu huchomoki
Ndo nani????bibi wa kiki fekero nae teja mda c mrefu gari litawaka
neiba mtoto anavuta ba ng uyu