Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yani anaetumia madawa anadhoofika kuliko mwenye ukimwikuna kipindi nilimuona bagamoyo aisee anasikitisha saaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani anaetumia madawa anadhoofika kuliko mwenye ukimwikuna kipindi nilimuona bagamoyo aisee anasikitisha saaana
Biskuti na Juisi ndio chakula chaoYani anaetumia madawa anadhoofika kuliko mwenye ukimwi
anatisha na kusikitisha sanaYani anaetumia madawa anadhoofika kuliko mwenye ukimwi
Biskuti na Juisi ndio chakula chao
Mkuuu! Chillah hata mie ananisikitisha sana!!! The dude is talented, hakuna nyimbo katoa sijapenda. Such a waste of talent!!!Mi mpaka leo namuonea huruma q chillah alivyopotea kwenye game kutokana na hayo ma vitu na ferouz
Yesuuuu! Na Ben Pol nae jamani?!!!Simfii ila kiukweli kuna kwa miaka aliyoanza unga huyu jamaa ni ngoma ngumu. ..watoto kibao km chiddy benz wameanza juzijuzi ila hawatamaniki. ..japo hastahili kukaa kwa mama mpaka leo ila hiyo ndo silaha yake yuko vile mpaka leo otherwise tungekuwa tumemsahau. ...ukila ngada maisha ya kigheto usipozeeka basi makalio utayaweka bond....nasikitika kusema kama watu wasipomkemea Ben pol soon hatochekana na chiddy benz
Aaache na asirudi tena kwenye huo ulimwengu. Kijana yuko fit sana kwenye gemu, I love his music!!Kweli Chillah alipotea lakini kwa sasa kaacha.
Ukimcheki kwa sasa yuko fresh tu,lasivyo tungesha msahau jamaa.
Kabisa,hata mimi napenda.Aaache na asirudi tena kwenye huo ulimwengu. Kijana yuko fit sana kwenye gemu, I love his music!!
Duh kale katoto Tunda kanavuta ngada?maajabuKufundishwa na tid huyo recho
Young d na tunda
Ray c na lord eyes
Mapenzi na wrong people
Madam nani?madam nae teja taarifa z muda hizo.....uzuri wa unga hata ujifiche lazma gari iwake
Ww kama hujui lugha za watu usizitumie kwani ukiandika kiswahili lugha yako vidole vinavimba au? Eti refer Whitney Houston and his daughter" shame on you next time post on your own languagembona hata mbele wanadanja kwa huo huo unga refer;whitney houston and his daughter.
Ww kama hujui lugha za watu usizitumie kwani ukiandika kiswahili lugha yako vidole vinavimba au? Eti refer Whitney Houston and his daughter" shame on you next time post on your own language
List ya wasanii manyoka.
1.Mnyama.
2.Mr green.
3.Macho ya Bwana.
4.Kiuno bila mfupa.
5.Savimbi.
6.Kizunguzungu.
7.Mkwe wa 76.
8.Jeep Rider(unazidi kunifurahisha mkurugenzi)
9.Da Hustler.
10.Benard Paul.
11.Man Dojo.
12.Daz Baba
13.Bibi Bomba 2006.
14.Banyenda 26.
15.Mzee wa shuka la mmasai mtego.
16.Tonya 2
Mr nice nae kawa kama wa kuchora, sijui kwanini watumiaji wa madawa hawajifunzi kwa wenzao wapo kama nyumbu.... Pole zao kwakweli
Duh yule dem karudisha jezi? Namkumnuka kibonge flani ana wowowoHuyo kesi yake kidogo ni tofauti,unamkumbuka bahati mtikisiko,yule demu anayekata miuno hatari kny video yake ya "fagilia",alikuwa anatembea naye na inasemekana kavuta kwa ngwengwe,so huenda na yeye ni mhanga pia mixer na ngada kuzugia