Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba picha ya KR Mullah mwenye nayo tafadhali
alisemaje?nature alimchana laivu ila jamaa kakataa
Huyo KR yuko under 18?unamvutisha madawa amehamia kino sasa kwa kumrubuni eti unamsaidia arudi kwenye game na kumpa urais wa lebo uchwara eti radar Entertainment huku unamvutisha hasa maunga si mda atakufa maana lishe f sasa
Hivi Serikali si wangewakamata hawa watumiaji wawapeleke wanakoyapata shida iko wapi hapo ????