Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Aloo kazi ipo kr kanaswa kwenye cheche alikataa kuwa hawez kula ngada.
 
hahahaha,huu unga unaelekea mtamu sana maana kila anaekana anadakwa
 
Naomba picha ya KR Mullah mwenye nayo tafadhali
 
Naomba picha ya KR Mullah mwenye nayo tafadhali
upload_2016-6-1_11-15-56.jpeg
 
Hivi Serikali si wangewakamata hawa watumiaji wawapeleke wanakoyapata shida iko wapi hapo ????
 
Dah!!! Huu Unga kwel kiboko mshikaji (TID) alikuwa Nyamvuto lakini cku izi hutamani hata kumuangalia, Ee mungu tusamehe
 
unamvutisha madawa amehamia kino sasa kwa kumrubuni eti unamsaidia arudi kwenye game na kumpa urais wa lebo uchwara eti radar Entertainment huku unamvutisha hasa maunga si mda atakufa maana lishe f sasa
Huyo KR yuko under 18?
 
Baba zima limekomaa hadi linavunja viwembe bafuni livutishwe unga?
 
Kamua baba, kamua babaa
Usijisifu na kujitapaa
Hata washkaji watakuona chiziii..
 
Back
Top Bottom