Uchaguzi 2020 Wasanii wanaogombea Ubunge 2020

Uchaguzi 2020 Wasanii wanaogombea Ubunge 2020

Ila wanaweza jameni kama profesor j naye aliweza sembuse hawa ila nahisi wanafwata nyayo
 
Harmo angebaki kwenye muziki....
Muziki unalipa sana kuliko ubunge...
Under wasafi alikuwa akiingiza B kwa mwaka

Ndio sababu ya kujitoa ili isiwe B ya mgao.
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM

2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM

3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM

4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF

View attachment 1487773
 
.....Pierre Liquid
 
Wote hao ni watu wa hovyo.
 
Hivi kweli kingwendu anaweza kujenga hoja bungeni na watu wakamskiza bila kuvunja mbavu? 😂
 
Kama watapita na kuwa Wabunge basi huenda Bunge la Tanzania likatia Fora duniani kwa kuwa na Wabunge Malaya, Wehu na Wavuta Bangi mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Piere liquid nayo ashatangaza iringa mjini
 
Waacheni wagombee ni haki yao. Wananchi ndiyo watakaoamua kama wanatosha au la.
 
2015 aligombea huko huko kisarawe tena chama hicho hicho cha CUF akadondokea pua.
Alishinda akaomba kutoka nje.yuko nje anawaambia wafuasi wake"heno heno.laha duniani mimi ndo mshindi"kurudi ndani wahuni washapindua meza.
 
Back
Top Bottom