Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

mm namwelewa sana Nikki wa pili jamaa nkiwa naskiliza interview zake najifunza mengi sana,, cpendagi kuzkosa interview zake,, Ila sio Mara zote nazkubali nyimbo zake
 
Interview yoyote akihojiwa TID mnyama hata iwe saa tisa usiku lazima niiangalie maana naamini lazima ataniongezea siku za kuishi
 
nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuw wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia atakama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka nitawa list hapa na we utaweka wako pia
1.professor j
2.diamond
3.kala jelemay
5.barnaba
6.darasa
7.weusi
8.ay
9,fid q
10.lady jay d
Umemusahau Mwanafalsafa (Binamu)
 
Back
Top Bottom