Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
vibaya mnoo!!Jamaa ana dharau apendi kuulizwa maswali ya kijinga namkubali sana ni mtu ambae anatema yai vizuri
yaani tid yuko vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vibaya mnoo!!Jamaa ana dharau apendi kuulizwa maswali ya kijinga namkubali sana ni mtu ambae anatema yai vizuri
HahahaaaaaaLe mutuz yupo vizuri sana le mbebez
Hahahahaaaaa huyo mwingine alimuita ruby mbwaWenye nyodo.
1.Alikiba
2.Baraka da prince.
3.T.I.D
4.Dully
….........
Huyo namba mbili akijitahidi atamfikia namba moja kwa nyodo.....
hivi huyu jamaa kageuka mshauri maana kwa sasa anasikika kuliko kazi zake alitoa nyimbo yake mpya inatw kokolikoHawo wote sio labda dudubaya
Mkuu mimi kiba na domo wote napenda nyimbo zao lakini huyu jamaa ana maringo sana...Chuki na Ally K zitakuua looh!
Pole sana kaka!!
Halafu moja akae nani?Kwenye hiyo list King Kiba inabidi umuweke kwenye namba 2
mbona yuko kawaida sanaMkuu mimi kiba na domo wote napenda nyimbo zao lakini huyu jamaa ana maringo sana...
Jaribu kuangalia interview zake kwenye Tv au YouTubembona yuko kawaida sana
Ally Ana asili ya ukimya!hua hana mbwembwe na wengine humuuliza maswali ya kizushi sana ya kumchonganisha na diamond that's why anajibu kijeuriJaribu kuangalia interview zake kwenye Tv au YouTube
Ila sasa hivi anaweza kukulisha wewe na ukoo wako mwaka mzima balanced dietInasemekana aliishia form two japo sina hakika
Umemusahau Mwanafalsafa (Binamu)nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuw wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia atakama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka nitawa list hapa na we utaweka wako pia
1.professor j
2.diamond
3.kala jelemay
5.barnaba
6.darasa
7.weusi
8.ay
9,fid q
10.lady jay d