Wasanii Wengi Wanapambana, Sio Wavivu Tupeane Faraja na Upendo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Haya ni maneno ya Msanii wa bongo Flavor BekaFlavor na kupostiwa na Msanii Bell9 kutokana na kile alichokisema msanii diamond juu ya vijana kufanya kazi badala ya kulalamika.

"Ila kuna vitu watanzania wenye nafasi flani kabla ya kuongea au kufanya tufikilie mara mbili mbili, wasanii tupo wengi na tunaimba vizuri tu tena vizuri sana ila M/Mungu hajatubariki riziki na mafanikio makubwa kama walivyobarikiwa wao sasa kitendo cha kuwafanya watanzania wote ambao hawajabarikiwa riziki wanapitia changamoto mbali mbali za utafutaji kua ni wavivu yani wanapenda kuishi maisha wanayoishi sio kweli watu wanapambana sana ila bado Mungu hajawajaalia kupata unafuu wa maisha"
-174016244.jpg
 
Ngojera za maisha hazina uhalisia , wengine wanapambana mchana mpaka usiku ila hawana mafanikio , wengine wana mirija ya pesa na wanazipata kwa urahisi ..Kiufupi hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mafanikio na kupambana.

Kupambania maisha ni kitu ya asili na hakuna binadamu ambaye hapambani ,wale Hadzabe wanapamba kupata chakula kila siku , wanapumzika mara chache ila yale ndiyo maisha ..Mapambano ni jambo la asili bila ya kupambana, sasa wanayosema hao jamaa ni yapi ?

Jamii za kale ndizo zilipambana ili kuishi , ikiwa ni pamoja na kujitafuta vyakula , makazi na ulinzi ..Zamani ilikuwa lazima ufanye shughuli ili ukitaka bidhaa nyingije uipate sio kwa sasa kwa sababu tunatumia centralized economy chini ya Pesa ..SO ili uwe na mafanikio karne hii ni lazima uwe na pesa , haijalishi utaipata vip ....Unaweza kuiba , kudhulumu , kufanya kazi , kutapeli , kuwanyonya wengine ..Zama za kulima au kufuga na kutumia nguvu hazipo , hata ukiangalia hapa bongo biashara zenye mtonyo mrefu ni zile black market . Hizo black market watu wanapiga mshindo , unakuta mtu ana dili phase 4 kwa mwaka ; anaweza kutengeneza mpaka mil 200 na kuendelea meanwhile Mgosi pale kariakoo anamka kila siku alfajiri kubeba mzigo mpaka jioni ana kama 20k maximum . Sasa haouni hakuna uwiano hapo wa mapambano .

Ukikuta matajiri kumi (01) katika uchumi wa pesa huu basi tambua saba(07) wameumiza wengine mpaka kufikia pale , vipo viwanda vinanyonya wengine wao wanatengeneza pesa ndefu ila wanaopambana katika uzalishaji wanapewa kifuta jasho .

Ni mjinga pekee anaweza kuongelea mapambano katika uchumi wa pesa ,hakuna tajiri anatumia nguvu kama walioko chini yake ..Uchumi wa pesa kikubwa uwe na pesa no matter umeipata wapi ila zamani lazima uzalishe ili upate kitu kingine ..
 
You said it all

Top comment 💯📌

Hao kina mondi wanauza sembe halafu eti wanajifanya wanapambana wanadhani mambo Yao wanayo yafanya hatuyajui mbali na kuuza sembe wanauza mpaka mikundu Kwa wanaume wenzao 🤣
Mtu kama ommy dimpoz na huyo mondi wote Wana kashfa ya kuliwa matako ili wapate fame and wealth

So huko ndio kupambana !?

Kama kupambana ndio huko hapana Kwa kweli

Waendelee kufikwa tu 😀
 
Attachments

  • Screenshot_20250906-053518_1757126148328.jpg
    Screenshot_20250906-053518_1757126148328.jpg
    389.6 KB · Views: 36
Back
Top Bottom