I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Dada, za Koffi ni Kama zile wanavaa Askari wa Scotland au hata baadhi ya Raia kudumisha utamaduni waoMbona Koffie Olomide pia avaa hayo masketi
JeshiiiiikKhoo.! Khoo.! Khoo.! Jeshiiiiiiiiiiiiiii
ππππππππππRangi izingatiwe.Pink bin chungwa.
Hakika,inatakiwa tuwe tunawachuniaWanatafuta attention, kama hivi unavyomjadili ndivyo wanavyopenda...
Mambo yao waachie wenyewe...
Waachieni wenyewe mambo yao, yasiwaumize kichwa...Hakika,inatakiwa tuwe tunawachunia
Kaz ya freemasonsView attachment 2242212View attachment 2242213View attachment 2242214
Huyu ni role model wa vijana wengi hapa nchini. Inasikitisha!
Anatoa album soon hvyo ashaanza kuteka attention za watuView attachment 2242212View attachment 2242213View attachment 2242214
Huyu ni role model wa vijana wengi hapa nchini. Inasikitisha!