Wasanii wetu wa kiume wana agenda gani na mavazi yao siku hizi? Wanahamasisha πŸ³οΈβ€πŸŒˆ? Mtazame Harmonize!!

Dada, za Koffi ni Kama zile wanavaa Askari wa Scotland au hata baadhi ya Raia kudumisha utamaduni wao
Bora ile angalau kwa mbaali,hii ya Harmo imevuka sio tu mipaka Bali hati mi mbwa
Kwani hizi suruali mnazovaa ni utamaduni wenu ?
 
Hichi kituko kinatofauti gani na cha mwijaku kule mwanza... Nmesikitiia mnoo
 
Eti anamuiga muhuni Post Malone. By the way hii fashion ya skirt imekua kwa kasi sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…