Wasauzi wamechafukwa mno: Hawataki wageni sasa bila hata uoga

Wasauzi wamechafukwa mno: Hawataki wageni sasa bila hata uoga

Makebo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2025
Posts
4,343
Reaction score
7,238
South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni
Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia
Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda kuchukua watoto wao shule
Hii imefanya mpaka serikali yao kuanza kutumia polisi kuwasaka wahamiaji na wageni nchini kwao
Nawahurumia wabongo, na ukiangalia hizi habari mitandaoni, kasi ya vifo vya wabingo imeongezeka kwa kasi sana miaka ya mieziya karibuni

1769639852863.png

1769640104917.png

1769640254560.png

1769640380362.png
 
South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni
Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia
Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda kuchukua watoto wao shule
Hii imefanya mpaka serikali yao kuanza kutumia polisi kuwasaka wahamiaji na wageni nchini kwao
Nawahurumia wabongo, na ukiangalia hizi habari mitandaoni, kasi ya vifo vya wabingo imeongezeka kwa kasi sana miaka ya mieziya karibuni

View attachment 3535823
View attachment 3535824
View attachment 3535825
View attachment 3535826
Hao wasiotakiwa ni wageni masikin. Huwez kumfukuza mgeni tajir.
 
Hii imefanya mpaka serikali yao kuanza kutumia polisi kuwasaka wahamiaji na wageni nchini kwao
Nawahurumia wabongo, na ukiangalia hizi habari mitandaoni, kasi ya vifo vya wabingo imeongezeka kwa kasi sana miaka ya mieziya karibuni
Tunarudi mwaka 1933 mpaka mwaka 1944.. historia inaongea nini hapo juu ya ubaguzi?
 
Nawaunga mkono wasouth,na hapo wameendelea hivyo kwa sababu mkaburu alichelewa kuachia madaraka,angalau alibust uchumi wa south.VIONGOZI WEUSI HUSUSANI NCHI ZA AFRICA NI LAANA KUBWA😭
Wazungu mpaka leo ndio wanashika karibia asilimia 80% ya uchumi, na ndio hao wameona wa south ni wazembe, wavivu na kupenda kujimwambafy kwao ndio maana kazi zote wanawapa weusi wa nchi nyingine
Wao badala kupambana na wazungu wametafuta mchawi kuwa mweusi mwenzao
 
Hapa wameenda kwenye shule kuzuia watoto wa wageni wasiingie shuleni
Hu sasa ni ujinga uliopitiliza, na hivi wengi hawa wa south hawajasoma mpaka elimu kwao iliwapita kushoto walidhani wakimtoa mkaburu wote watakuwa matajiri ghafla


1769687145228.png
 
Hawa wanaenda sasa mpaka kwenye nyumba za wageni wenye uraia na kuwatoa kwenye nyumba zao walinunua kwa hela zao

1769687274761.png

1769687317234.png
 
Na pia wanaenda mpaka mahospitalini na kusimama kwenye maget na kuuliza vitambulisho ukiwaunaiingia hospitali na kama sio msouth huiingia kupata matibabu

1769687458354.png
 
Operation dudula sio poa
Nalog off Z
Aisee, ukiona video huko mitandaoni wanavyowafanya sio poa kabisa
Na sasa mfalme wa wazulu nae kajiunga na didula na march and march
Kwa kweli huko sio kwa kuishi tena
 
Ngozi nyeusi tunaroho mbaya sana
wakimalizana na wageni wataanza kubaguana wao kwa wao

Poor africans!
 
Back
Top Bottom