Hao wasiotakiwa ni wageni masikin. Huwez kumfukuza mgeni tajir.South Africa imegeuka kuwa motoni kama wewe sio Msouth hizi siku za karibuni
Sasa sio tena kikundi fulani kinashambulia wageni bali nchi nzima wananchi wameamua hawataki wageni iwe kutoka nchi zingine za africa au nchi za asia
Sasa wameanza kwenda mpaka mashuleni kuwasubiri wakati wanaenda kuchukua watoto wao shule
Hii imefanya mpaka serikali yao kuanza kutumia polisi kuwasaka wahamiaji na wageni nchini kwao
Nawahurumia wabongo, na ukiangalia hizi habari mitandaoni, kasi ya vifo vya wabingo imeongezeka kwa kasi sana miaka ya mieziya karibuni
View attachment 3535823
View attachment 3535824
View attachment 3535825
View attachment 3535826
Tunarudi mwaka 1933 mpaka mwaka 1944.. historia inaongea nini hapo juu ya ubaguzi?Hii imefanya mpaka serikali yao kuanza kutumia polisi kuwasaka wahamiaji na wageni nchini kwao
Nawahurumia wabongo, na ukiangalia hizi habari mitandaoni, kasi ya vifo vya wabingo imeongezeka kwa kasi sana miaka ya mieziya karibuni
Huyu Trump kaleta balaa dunia nzimaTunakokwenda hii fukuza fukuza wageni itaenea nchi nyingi!
Wazungu mpaka leo ndio wanashika karibia asilimia 80% ya uchumi, na ndio hao wameona wa south ni wazembe, wavivu na kupenda kujimwambafy kwao ndio maana kazi zote wanawapa weusi wa nchi nyingineNawaunga mkono wasouth,na hapo wameendelea hivyo kwa sababu mkaburu alichelewa kuachia madaraka,angalau alibust uchumi wa south.VIONGOZI WEUSI HUSUSANI NCHI ZA AFRICA NI LAANA KUBWA😭
Aisee, ukiona video huko mitandaoni wanavyowafanya sio poa kabisaOperation dudula sio poa
Nalog off Z