covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa.
Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja.
Ajabu wapo bize kwenye press wakijiandaa kwenye kampeni kubwa kuanzia jumatano za kupita mtaa kwa mtaa ili kupata washabiki wa kutosha uwanjani.
Swali la kujiuliza hivi kuna haja ya kufanya hizo kampeni kama mikutano ya siasa ili tu tupate washabiki.
Mpira wa miguu sio siasa kama umekamilika uwanjani unaonekana live na kama hukujiandaa unaumbuka uwanjani.
Na washabiki tunajua tunachotaka kama team ipo vizuri itajizolea madhabiki lukiki pasipo kampeni yyte mitaani.
Mimi naona muda wa hamasa ambao watatumia mitaani wangekesha na wachezaji huko kambini kujua in out njia mbalimbali za kukabiliana na hizi team za nje.
Cha ajabu hawakueleza ni namna gani team zetu hizi zinafanya maboresho ya kiufundi hasa kiuchezaji maana ni wazi viwango vya team zote mbili kimataifa sio kizuri na zinatia wasiwasi sana kwenye kufunzu hatua inayofuata hasa Simba.
Wasemaji leo mmetuangusha sana.