Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema ukweli.
Hao hapo Raja wameamua kufunguka.
Mbunge wa Nzega na mwana simba damu naye kaamua kufunguka.
Ewe Mtanzania tupia "screen short" au picha ya wa Afrika wakifunguka kuhusu kuonewa kwa Yanga.