Kutoka ni kutoka tu, aibu ya nini sasa? Tukutane mwakani panapo majaaliwaAly Ahly 2 -0 Simba... Huon hata aibu au ndio ile mishipa imechoka😅😅... Yule mme wenu ametema nyongo bondeni .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka ni kutoka tu, aibu ya nini sasa? Tukutane mwakani panapo majaaliwaAly Ahly 2 -0 Simba... Huon hata aibu au ndio ile mishipa imechoka😅😅... Yule mme wenu ametema nyongo bondeni .....
Mngetaka yasitokee msingegongesha mwamba mgedumbukiza nyavuni. Hongereni kwa kufa kiume kwa tabu sanaaaa.kuna kukosea bahati mbaya na kufanya makusudi, huyu wa leo kafanya makusudi kwa sababu anazozijua yeye
Ni kweliRefa wao, ila washambuliaji butu wa Yanga nalo ni janga.
Sundowns wanaogopwa bure tu ila ni wa kawaida sana.
Kama ambavyo timu za uarabuni tulivyokua tunaziogopa ila zikikaa vibaya zinapelekewa pumzi ya moto mpaka wanaomba mechi iishe.
Kuna kukosea, na kupanga njama za kukosea kimakusudi. Kwa yale waliyoyafanya wale waamuzi, ni njama za wazi wazi za kujikosesha kimakusudi. Wanastahili kuadhibiwa haraka iwezekanavyo.Achaneni na hayo bana, hayabadili matokeo. Mpira ni mchezo wa makosa. Refa na jopo lake wamekosea mshindani wetu amefaidika. Tukubaliane na matokeo tu. Tujipange kwa yajayo.
Huyu naye ni punguani?
Kama Yanga sio wa kwanza kuonewa vile basi Yanga ndio wawe wa mwisho kuonewa.Utadhani Uto ndio wa kwanza kufanyiwa hivyo
Kipi ulichoonewa?.hakuna technology ya goal line.kwanini uamini kuwa umeonewa?Kama Yanga sio wa kwanza kuonewa vile basi Yanga ndio wawe wa mwisho kuonewa.
Soka la Afrika limekuwa, technology imekuwa, kwanini sasa mambo ya kihuni wazi wazi kama yale ya jana tuendelee kuyaendekeza?
VAR ina msaada gani katika lile tukio?Kipi ulichoonewa?.hakuna technology ya goal line.kwanini uamini kuwa umeonewa?
Tuwekeeni picha ya camera ya goal line.ipo wapi? Mbona hamuweki?msilalamike tu.VAR ina msaada gani katika lile tukio?
Kama video na Picha za kamera zote zilizopo sasa zimetuonyesha mpira wote ulivuka mstari, kwanini lisiwe ni goli?
Kwanini tusiseme Yanga alionewa?
Ndio shida timu zikicheza na Yanga, zinaonekana ni za kawaida. Wazee tukubali kwasasa Yanga ipo hatua ya mbali katika kufanya scouting ya benchi la ufundi. Hao Mamelodi sio timu ya kawaida, waulize Al Ahly anawajua vizuri hao katika michezo mitano ya hivi karibuni Al Ahly kapata tabu sana iwe kwake au ugenini. Mamelodi ni bingwa wa African football league sio timu ya kawaida bali Yanga ndio timu inayoweza kuwa tishio huko mbeleni.Refa wao, ila washambuliaji butu wa Yanga nalo ni janga.
Sundowns wanaogopwa bure tu ila ni wa kawaida sana.
Kama ambavyo timu za uarabuni tulivyokua tunaziogopa ila zikikaa vibaya zinapelekewa pumzi ya moto mpaka wanaomba mechi iishe.
Nimeshangaa kuona rafu aliyocheza Lomlisa ilienda kutazamwa na mwamuzi kwenye VAR ya uwanjani ili kujiridhisha kama inastahili kadi nyekundu, au la!!
Halafu kwenye goli lenye utata kama lile, mwamuzi hakuitwa kwenda kujiridhisha kama kweli mpira ulivuka mstari, au la!!
Hakika lile tukio la jana limewadhalilisha waamuzi wa Afrika. Inaonekaa ni wazi wako kwenye payroll ya Motsepe.
Sasa huyo Kingwagwala wa nini hapo?Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema ukweli.
View attachment 2955054
Hao hapo Raja wameamua kufunguka.
View attachment 2955064
Mbunge wa Nzega na mwana simba damu naye kaamua kufunguka.
Ewe Mtanzania tupia "screen short" au picha ya wa Afrika wakifunguka kuhusu kuonewa kwa Yanga.