Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Inauma lakin Acha iwe ivo,Mkome
Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema ukweli.
View attachment 2955054
Hao hapo Raja wameamua kufunguka.
View attachment 2955064
Mbunge wa Nzega na mwana simba damu naye kaamua kufunguka.
Ewe Mtanzania tupia "screen short" au picha ya wa Afrika wakifunguka kuhusu kuonewa kwa Yanga.
Karma ipo itafanya kazi siku mojaKumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema ukweli.
View attachment 2955054
Hao hapo Raja wameamua kufunguka.
View attachment 2955064
Mbunge wa Nzega na mwana simba damu naye kaamua kufunguka.
Ewe Mtanzania tupia "screen short" au picha ya wa Afrika wakifunguka kuhusu kuonewa kwa Yanga.
Kigwa kasahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa?Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema ukweli.
View attachment 2955054
Hao hapo Raja wameamua kufunguka.
View attachment 2955064
Mbunge wa Nzega na mwana simba damu naye kaamua kufunguka.
Ewe Mtanzania tupia "screen short" au picha ya wa Afrika wakifunguka kuhusu kuonewa kwa Yanga.
Kigwa kasahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa?
Duuh! Watu wamepinda balaaView attachment 2955076
Jamaa kampa jibu kali sana.
mpumbav huyoKocha wa Mamelodi naye katoa neno.
View attachment 2955084
Achaneni na hayo bana, hayabadili matokeo. Mpira ni mchezo wa makosa. Refa na jopo lake wamekosea mshindani wetu amefaidika. Tukubaliane na matokeo tu. Tujipange kwa yajayo.Kumekuwa na lawama na Malalamiko toka kila sehemu Afrika kupinga na kuonesha kukerwa kwa kuonewa kwa Yanga kwa kukataliwa kwa Goli lao.
Ukienda kwenye page ya CAF ndio utaona namna wadau toka kila pembe ya Afrika wakilaumu huku wengine hususani baadhi ya vilabu kuonesha hisia zao na kusema ukweli.
View attachment 2955054
Hao hapo Raja wameamua kufunguka.
View attachment 2955064
Mbunge wa Nzega na mwana simba damu naye kaamua kufunguka.
Ewe Mtanzania tupia "screen short" au picha ya wa Afrika wakifunguka kuhusu kuonewa kwa Yanga.
kuna kukosea bahati mbaya na kufanya makusudi, huyu wa leo kafanya makusudi kwa sababu anazozijua yeyeAchaneni na hayo bana, hayabadili matokeo. Mpira ni mchezo wa makosa. Refa na jopo lake wamekosea mshindani wetu amefaidika. Tukubaliane na matokeo tu. Tujipange kwa yajayo.
Aly Ahly 2 -0 Simba... Huon hata aibu au ndio ile mishipa imechoka😅😅Nendeni FIFA malalamiko FC🤣🤣🤣🐸🐸🐸🐸
... Yule mme wenu ametema nyongo bondeni .....