Washabaki wengi wa mpira bongo wana matatizo ya akili?

Mbona wewe ukisikiliza taarabu hatukuingilii
 
Sasa ukifuatilia hayo mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa tafa letu, unaishia kusativwa, mara uhaini, mara upotezwe.

Sasa yote hayo nn? Watu tunajibwenda na soka. Lol.
 
Watz ni watu wenye mahaba sana yaan wakipenda ki2 hata kikosee vip kitatetetewa na hoja hatukosagi hata kidgo ukitaka kuamini hilo kuna watu watabisha kua Yamal ni bora kuliko Saka.
 
Mimi bila hata hicho kipengelo cha kusema badala ya mpira wangejadili mambo ya mustakabali wa taifa bado huwa nashangazwa sana na hulka za mashabiki wengi wa mpira wanavyoenenda, ile nishati ya mtu kuongea masaa kadhaa mpaka anatokwa povu na jasho akisisitiza au akifafanua jambo ambalo ni tambo, kejeli au vijembe tu!
 
Hapo watu wanapumzisha fuvu baada ya kazi ngumu ya kupiga tofali,msongo wa mawazo hakuna
 
Hapo watu wanapumzisha fuvu baada ya kazi ngumu ya kupiga tofali,msongo wa mawazo hakuna
Sasa hapo anapumzika au ndio anazidi kuchoka, ushawahi kuwaona Kwanza wanavyoshupaza shingo, mtu anabishana mpaka jasho linamtoka.
 
Sasa hapo anapumzika au ndio anazidi kuchoka, ushawahi kuwaona Kwanza wanavyoshupaza shingo, mtu anabishana mpaka jasho linamtoka.
Ukiongea,mengi hutoka moyoni,kuna mental relief unapata,utasahau mengi sana,utaenda kuyawaza muda wa kulala
 
Sasa hapo anapumzika au ndio anazidi kuchoka, ushawahi kuwaona Kwanza wanavyoshupaza shingo, mtu anabishana mpaka jasho linamtoka.
Na unakuta anafanya hivyo hata siku tano kwa wiki!
 
Vipi wale unaokuta wanafanya hiyo asubuhi mapema tu?
Tofali hupigwa kuanzia saa sita usiku mpaka kesho kumi jioni, haya maisha kila mtu ana ratiba yake, mwingine mchinja ng'ombe machinjioni,ana wenzake huko kazi ni usiku asubuhi wanalala
 
Huu Uzi umeshaharibika jaribu kunena๐Ÿ˜
Nilitaka niseme fimbo zirudishwe katika hii nchi kwa sababu uhovyo imekuwa mwingi๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚. Mashabiki wengi wa soka hapa Tanzania ni wapuuzi sana
 
iyo true na watz wengi wanawaza simba na yanga na ndo vitu wanavyoweza kujadili na kuwaunganisha ila sio vitu vingine vya maendeleo binafsi au ya nchi
Kila kitu kimeoza, madimbwi ya maji, takataka kila Kona, mwendokasi imezorota, makelele kila mahali, barabara mbovu , ajira hakuna, bizness haziendi, umaskini umetamalaki, njaa Kali, watu wanatekwa, nk,

Kitu pekee kilichonyooka na kutupa Raha mno ni Yanga tu kwanini tusiipende na kushangilia kama mazuzu? Nani hapendi Raha? Nani hapendi Supu? Kwanini tusiijadili Yanga na mapovu kututoka?

Yanga bingwa!
 
Nilishangaa kuna watu masikini wanaweza kutoka Tunduma hadi Dar kuangalia mpira tu! Mara kadhaa nimeona habari za mashabiki kutoka mikoani wengine kujeruhiwa na kufa safarini!
 
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.


Yani Mimi nakushangaa hata wewe mtu angu. Ambae umechukua muda kuandaa huu Uzi.

Anyway me washaniamvukiza Hawa mbwa. Saivi nimeanza kukubari Sana Simba na kidogo kidogo nawashika wachezaji majina.

Ukiniuliza half of the team now nawajua.

Shenzi sisi tunaacha kujadili no Reforms tutajadili yanga no finals ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ