Alicho nichekesha huyu Mziwanda ni kusema yeye ndiye ana muhudumia Shilole na yeye ndio yuko in charge kwenye mahusiano yao.
Alafu shilole sijui uswazi utamuisha lini
na katachapwa sana vibao chezea kuwekwa mjini na mwanamke...
alafu kalikua kanaongea hakajiamini
na katachapwa sana vibao chezea kuwekwa mjini na mwanamke...
Kila Post Ya Upashkuna Una Changia. Tulia Mama
Angekuwa kapalakashwa yeye shilole pangekuwa hapatoshi hapo. Umasikini ni kitu kibaya ila umasikini wa akili ndo balaa yote nini? mjini mipango alosema hilo hakukosea.
kukaa na mme asie na hela kipaji
Mwanaume wa hivo hana hata maamuzi ya kuchepuka
achepuka ana nnya!?