Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Yupo sahivi anahojiwa na Sam Misago FNL, kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia ishu ya kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotokea
 
Last edited by a moderator:
Alicho nichekesha huyu Mziwanda ni kusema yeye ndiye ana muhudumia Shilole na yeye ndio yuko in charge kwenye mahusiano yao.
 
halafu huyu demu niaje? mbona analeta za kipashkuna?
 
Alafu shilole sijui uswazi utamuisha lini

Sidhani kama tatzo nila shilole jamaa ndio mpuuz na walishawah kusema kama hujui unapokwenda huwez kupotea, yy wa mjini lakin bdo anachezea vitasa lazma hayupo sawa na hatendei haki nafasi yake kwan mwili hufwata kicha na hayo ndio matokeo ya udhaifu wake
 
Angekuwa kapalakashwa yeye shilole pangekuwa hapatoshi hapo. Umasikini ni kitu kibaya ila umasikini wa akili ndo balaa yote nini? mjini mipango alosema hilo hakukosea.
 
Angekuwa kapalakashwa yeye shilole pangekuwa hapatoshi hapo. Umasikini ni kitu kibaya ila umasikini wa akili ndo balaa yote nini? mjini mipango alosema hilo hakukosea.

kukaa na mme asie na hela kipaji
 
Back
Top Bottom