Jamaa anautafuta ustar kwa kutumia shilole,anaamini bila shilole hatoki
kukaa na mme asie na hela kipaji
mpuuzi sana yule mtoto anajiona kawini kweli
sijui vitoto vingine vikoje hela hana halafu anataka masuperstaa shilole miaka 29 sijui ye ana kumi na nane huko
Dah ila jameni ndo akakanasa kibao kweli? Honestly.....dharau zingine sio issue haaaata!
Ni heri kumkataa tu ikaeleweka moja!
Dah ila jameni ndo akakanasa kibao kweli? Honestly.....dharau zingine sio issue haaaata!
Ni heri kumkataa tu ikaeleweka moja!
Ati???? Kumi na ngapi?
wanasema na nyumbani kana fimbo yake kama wale wengine lol
Jamaa anautafuta ustar kwa kutumia shilole,anaamini bila shilole hatoki
kukaa na mme asie na hela kipaji
si linajing'ang'aniza lenyewe
hivi shilole anamtaka kwani
lenyewe lile toto jingaa[/QUOTE
Kwanini asimuache tu ile ile kuliko kuwa nae then anamtreat hovyo hivyo?
dogo tu lile siju miaka hazidi25yule si bas tu tamaa
Teh Teh yeye amesema ndio ana muhudumia Shilole.
kumhudumia kwa aina ipi ?
maana kupo kwingi
kimavazi na kila kitu.
si linajing'ang'aniza lenyewe
hivi shilole anamtaka kwani
lenyewe lile toto jingaa[/QUOTE
Kwanini asimuache tu ile ile kuliko kuwa nae then anamtreat hovyo hivyo?
anataka u star nnya aonekane mjanja
Teh Teh jamaa kanywea sana
Kuna wanaume wengine marioo ni mazoba na kuna wengine wanalelewa but wakorofiiiiii!!
All in all kumheshimu/kumstahi mtu kwani bei gani?
uwe marioo halafu mkubwa kiumri au bas walau una ht ya nauli!!
mia huna unaleta jeuri
aah wapi kuna rais wa manzese nae anachukua chuma