Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

Jamaa anautafuta ustar kwa kutumia shilole,anaamini bila shilole hatoki

mpuuzi sana yule mtoto anajiona kawini kweli
sijui vitoto vingine vikoje hela hana halafu anataka masuperstaa shilole miaka 29 sijui ye ana kumi na nane huko
 
Dah ila jameni ndo akakanasa kibao kweli? Honestly.....dharau zingine sio issue haaaata!

Ni heri kumkataa tu ikaeleweka moja!

si linajing'ang'aniza lenyewe
hivi shilole anamtaka kwani
lenyewe lile toto jingaa
 
Kuna wanaume wengine marioo ni mazoba na kuna wengine wanalelewa but wakorofiiiiii!!

All in all kumheshimu/kumstahi mtu kwani bei gani?

uwe marioo halafu mkubwa kiumri au bas walau una ht ya nauli!!
mia huna unaleta jeuri
 
mwenzie aliimba "bora niludi zangu kijijini nikaendelee kukata mkaa" yeye anasubuli nini mpaka sasa..!? siku atambiwa kama unataka kuendelea nami leo zamu yangu nataka unipe 0713 niipije.
 
Back
Top Bottom