Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.

Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.

Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi nawaita wapigaji wa Simba wanajitokeza na kuvimba eti jezi zao ni nzuri kuzidi zile za Yanga, huku wengi wao wakielekeza mahali pa kuzipata.

Na kuna viongozi malofa wanajitokeza hadharani na wanasapoti hii porojo isio na afya huku wakiacha kujibu hoja mbalimbali walizo ulizwa na washabiki na wanachama wa Simba tangu msimu uliopita.

Hii inaonesha wazi jinsi washabiki wa Simba walivyo na akili za kupepea kwa kuacha kutafuta ufumbuzi wa mambo ya maana kwa timu yao na sasa wanapeperushwa na upepo wa jezi.

Nawakumbusha tu washabiki wa Simba Jezi nzuri bila ubingwa ni sawa na kuwa na Mke mzuri lakini mgumba.
 
Katika misimu minne ambayo Simba Sc imeshindwa kuchukua ubingwa wa ligi ni katika kipindi hiki hiki Simba imejitambulisha na kutambuliwa kama moja ya klabu Bora zaidi kuwahi kutokea katika soka la Afrika.
Kipindi Cha mpito Cha Simba kutokuchukua ubingwa ni kipindi ambacho wanasimba lazima tukubaliane kwamba Si lazima kila msimu Simba itakuwa bingwa.
Muda wetu unakuja! Tukae kwa kutulia.
 
Ujinga mkubwa wa Binadamu ni pamoja na kuwa Mmbeya na kufuatilia mambo yasiyokuhusu. Kufungwa kwa Simba na Utopolo ndio furaha yenu. Huwezi kwa akili yako hiyo ya kuvukia barabara ukikwepa Boda ukawafundisha Simba jinsi ya kudeal na Viongozi wao.
 
Kwa hili, kwani viongozi wanasema uongo?

1756883760917.png

1756883792950.jpeg
 
Katika misimu minne ambayo Simba Sc imeshindwa kuchukua ubingwa wa ligi ni katika kipindi hiki hiki Simba imejitambulisha na kutambuliwa kama moja ya klabu Bora zaidi kuwahi kutokea katika soka la Afrika.
Kipindi Cha mpito Cha Simba kutokuchukua ubingwa ni kipindi ambacho wanasimba lazima tukubaliane kwamba Si lazima kila msimu Simba itakuwa bingwa.
Muda wetu unakuja! Tukae kwa kutulia.
Ila mbumbumbu bana ubora upi? kwenye hizo clubs bora Africa nitajie club ambayo haifanyi vizuri kwenye ligi ya ndani na haina ubingwa wa Africa
 
Misimu minne simba bila kuchukua ubingwa haliwezi kuitwa jambo la kawaida, malengo ya simba kila msimu ni kuchukua ubingwa, isipochukua maana yake haikufikia malengo kuna tatizo linalohitaji kufanyiwa kazi na sio kwa kujifariji kwenye mashindano mengine.
 
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.

Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.

Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi nawaita wapigaji wa Simba wanajitokeza na kuvimba eti jezi zao ni nzuri kuzidi zile za Yanga, huku wengi wao wakielekeza mahali pa kuzipata.

Na kuna viongozi malofa wanajitokeza hadharani na wanasapoti hii porojo isio na afya huku wakiacha kujibu hoja mbalimbali walizo ulizwa na washabiki na wanachama wa Simba tangu msimu uliopita.

Hii inaonesha wazi jinsi washabiki wa Simba walivyo na akili za kupepea kwa kuacha kutafuta ufumbuzi wa mambo ya maana kwa timu yao na sasa wanapeperushwa na upepo wa jezi.

Nawakumbusha tu washabiki wa Simba Jezi nzuri bila ubingwa ni sawa na kuwa na Mke mzuri lakini mgumba.
jezi mbaya na hatapata hata kikombe kimoja
 
Misimu minne simba bila kuchukua ubingwa haliwezi kuitwa jambo la kawaida, malengo ya simba kila msimu ni kuchukua ubingwa, isipochukua maana yake haikufikia malengo kuna tatizo linalohitaji kufanyiwa kazi na sio kwa kujifariji kwenye mashindano mengine.
Sawa boss maoni safi lakini hatuwezi kubishana na ukweli kwamba Kufungwa na Yanga sio kipimo Cha ubovu wa Simba.
Nguvu moja
 
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.

Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.

Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi nawaita wapigaji wa Simba wanajitokeza na kuvimba eti jezi zao ni nzuri kuzidi zile za Yanga, huku wengi wao wakielekeza mahali pa kuzipata.

Na kuna viongozi malofa wanajitokeza hadharani na wanasapoti hii porojo isio na afya huku wakiacha kujibu hoja mbalimbali walizo ulizwa na washabiki na wanachama wa Simba tangu msimu uliopita.

Hii inaonesha wazi jinsi washabiki wa Simba walivyo na akili za kupepea kwa kuacha kutafuta ufumbuzi wa mambo ya maana kwa timu yao na sasa wanapeperushwa na upepo wa jezi.

Nawakumbusha tu washabiki wa Simba Jezi nzuri bila ubingwa ni sawa na kuwa na Mke mzuri lakini mgumba.
Wanamsikiliza GB 64 Yule muuza PWEZA
 
Ila mbumbumbu bana ubora upi? kwenye hizo clubs bora Africa nitajie club ambayo haifanyi vizuri kwenye ligi ya ndani na haina ubingwa wa Africa
Wewe uliyechukua ubingwa mfululizo upo namba ngapi Africa mbona tunashiriki wote na mnatolewa makundi
 
Ujinga mkubwa wa Binadamu ni pamoja na kuwa Mmbeya na kufuatilia mambo yasiyokuhusu. Kufungwa kwa Simba na Utopolo ndio furaha yenu. Huwezi kwa akili yako hiyo ya kuvukia barabara ukikwepa Boda ukawafundisha Simba jinsi ya kudeal na Viongozi wao.
Mbea✅
Mmbeya ❌

Umbea✅
Umbeya❌
 
Ila mbumbumbu bana ubora upi? kwenye hizo clubs bora Africa nitajie club ambayo haifanyi vizuri kwenye ligi ya ndani na haina ubingwa wa Africa
Ni

Kabla ya huu mwaka haujaisha hakikisha unapunguza jazba na hasira ili kuepuka sukari na presha boss
 
Misimu minne simba bila kuchukua ubingwa haliwezi kuitwa jambo la kawaida, malengo ya simba kila msimu ni kuchukua ubingwa, isipochukua maana yake haikufikia malengo kuna tatizo linalohitaji kufanyiwa kazi na sio kwa kujifariji kwenye mashindano mengine.
Ulipendelea kilabu gani ichukue ubingwa ili wewe usifurahi?Umeachwa na furaha lakini bado unataka Simba ndiyo wafurahi.Hapo unataka nini sasa?
 
Back
Top Bottom