Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

Sawa boss maoni safi lakini hatuwezi kubishana na ukweli kwamba Kufungwa na Yanga sio kipimo Cha ubovu wa Simba.
Nguvu moja
Nimezungumzia malengo ya taasisi ya simba, mwanzo wa msimu simba haijawahi kusema kwamba malengo ya msimu ni kumfunga yanga,,, mara nyingi hayo ni malengo ya mashabiki.
 
Kwamba una uchungu na simba kutomfunga Yanga?
 
Katika misimu minne ambayo Simba Sc imeshindwa kuchukua ubingwa wa ligi ni katika kipindi hiki hiki Simba imejitambulisha na kutambuliwa kama moja ya klabu Bora zaidi kuwahi kutokea katika soka la Afrika.
Kipindi Cha mpito Cha Simba kutokuchukua ubingwa ni kipindi ambacho wanasimba lazima tukubaliane kwamba Si lazima kila msimu Simba itakuwa bingwa.
Muda wetu unakuja! Tukae kwa kutulia.
Acha uongo. Wapi na nani alisema Simba ni miongoni mwa timu bora "KUWAHI KUTOKEA" Afrika? Nyie ndio mnawadanganya mashabiki wenu ili wasiwabane kwa kushindwa kuchukua kombe lolote kwa muda mrefu.
 
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.

Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.

Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi nawaita wapigaji wa Simba wanajitokeza na kuvimba eti jezi zao ni nzuri kuzidi zile za Yanga, huku wengi wao wakielekeza mahali pa kuzipata.

Na kuna viongozi malofa wanajitokeza hadharani na wanasapoti hii porojo isio na afya huku wakiacha kujibu hoja mbalimbali walizo ulizwa na washabiki na wanachama wa Simba tangu msimu uliopita.

Hii inaonesha wazi jinsi washabiki wa Simba walivyo na akili za kupepea kwa kuacha kutafuta ufumbuzi wa mambo ya maana kwa timu yao na sasa wanapeperushwa na upepo wa jezi.

Nawakumbusha tu washabiki wa Simba Jezi nzuri bila ubingwa ni sawa na kuwa na Mke mzuri lakini mgumba.
Uongozi wa Simba uruhusu wanachama wapya
 
Katika misimu minne ambayo Simba Sc imeshindwa kuchukua ubingwa wa ligi ni katika kipindi hiki hiki Simba imejitambulisha na kutambuliwa kama moja ya klabu Bora zaidi kuwahi kutokea katika soka la Afrika.
Kipindi Cha mpito Cha Simba kutokuchukua ubingwa ni kipindi ambacho wanasimba lazima tukubaliane kwamba Si lazima kila msimu Simba itakuwa bingwa.
Muda wetu unakuja! Tukae kwa kutulia.
Mtafungwa huku mkiwa mmevaa jezi zenu na kupendeza..!!
 
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.

Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.

Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi nawaita wapigaji wa Simba wanajitokeza na kuvimba eti jezi zao ni nzuri kuzidi zile za Yanga, huku wengi wao wakielekeza mahali pa kuzipata.

Na kuna viongozi malofa wanajitokeza hadharani na wanasapoti hii porojo isio na afya huku wakiacha kujibu hoja mbalimbali walizo ulizwa na washabiki na wanachama wa Simba tangu msimu uliopita.

Hii inaonesha wazi jinsi washabiki wa Simba walivyo na akili za kupepea kwa kuacha kutafuta ufumbuzi wa mambo ya maana kwa timu yao na sasa wanapeperushwa na upepo wa jezi.

Nawakumbusha tu washabiki wa Simba Jezi nzuri bila ubingwa ni sawa na kuwa na Mke mzuri lakini mgumba.
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu '
 
Kipimo Cha mafanikio ya Simba sio kumfunga yanga.

Simba ashavuka huko.
Simba Kwa Sasa anawaza jinsi ya kuchukuwa ubingwa wa Africa na sio kumfunga au kufungwa na yanga.
 
Hao mnao jilinganisha nao Africa wame dominate kwenye local league zao kwanza anza na Al Ahly, Mamelodi, Esperance, Wydad, Berkane na sana ubingwa wa Africa sasa nyie hamna nyuma wala mbele
 
Kipimo Cha mafanikio ya Simba sio kumfunga yanga.

Simba ashavuka huko.
Simba Kwa Sasa anawaza jinsi ya kuchukuwa ubingwa wa Africa na sio kumfunga au kufungwa na yanga.
Hao mnao jilinganisha nao Africa wame dominate kwenye local league zao kwanza anza na Al Ahly, Mamelodi, Esperance, Wydad, Berkane na sana ubingwa wa Africa sasa nyie hamna nyuma wala mbe
Simba! Unatakaje bwana utopolo?
Nyie hamna tofauti na Azam ni washiriki kwenye ligi
 
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.

Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.

Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi nawaita wapigaji wa Simba wanajitokeza na kuvimba eti jezi zao ni nzuri kuzidi zile za Yanga, huku wengi wao wakielekeza mahali pa kuzipata.

Na kuna viongozi malofa wanajitokeza hadharani na wanasapoti hii porojo isio na afya huku wakiacha kujibu hoja mbalimbali walizo ulizwa na washabiki na wanachama wa Simba tangu msimu uliopita.

Hii inaonesha wazi jinsi washabiki wa Simba walivyo na akili za kupepea kwa kuacha kutafuta ufumbuzi wa mambo ya maana kwa timu yao na sasa wanapeperushwa na upepo wa jezi.

Nawakumbusha tu washabiki wa Simba Jezi nzuri bila ubingwa ni sawa na kuwa na Mke mzuri lakini mgumba.
Mkuu bingwa wa NBC premier league anapewa bei gani na Caf confederation cup finalist anapewa kiasi gani weka hapa viwango vyao ili tujue nani amepata hasara kati yao kwa misimu minne iliyopita
 
Back
Top Bottom