Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

Sawa boss maoni safi lakini hatuwezi kubishana na ukweli kwamba Kufungwa na Yanga sio kipimo Cha ubovu wa Simba.
Nguvu moja
Nimezungumzia malengo ya taasisi ya simba, mwanzo wa msimu simba haijawahi kusema kwamba malengo ya msimu ni kumfunga yanga,,, mara nyingi hayo ni malengo ya mashabiki.
 
Kwamba una uchungu na simba kutomfunga Yanga?
 
Acha uongo. Wapi na nani alisema Simba ni miongoni mwa timu bora "KUWAHI KUTOKEA" Afrika? Nyie ndio mnawadanganya mashabiki wenu ili wasiwabane kwa kushindwa kuchukua kombe lolote kwa muda mrefu.
 
Uongozi wa Simba uruhusu wanachama wapya
 
Mtafungwa huku mkiwa mmevaa jezi zenu na kupendeza..!!
 
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu '
 
Kipimo Cha mafanikio ya Simba sio kumfunga yanga.

Simba ashavuka huko.
Simba Kwa Sasa anawaza jinsi ya kuchukuwa ubingwa wa Africa na sio kumfunga au kufungwa na yanga.
 
Kipimo Cha mafanikio ya Simba sio kumfunga yanga.

Simba ashavuka huko.
Simba Kwa Sasa anawaza jinsi ya kuchukuwa ubingwa wa Africa na sio kumfunga au kufungwa na yanga.
Hao mnao jilinganisha nao Africa wame dominate kwenye local league zao kwanza anza na Al Ahly, Mamelodi, Esperance, Wydad, Berkane na sana ubingwa wa Africa sasa nyie hamna nyuma wala mbele
 
Kipimo Cha mafanikio ya Simba sio kumfunga yanga.

Simba ashavuka huko.
Simba Kwa Sasa anawaza jinsi ya kuchukuwa ubingwa wa Africa na sio kumfunga au kufungwa na yanga.
Hao mnao jilinganisha nao Africa wame dominate kwenye local league zao kwanza anza na Al Ahly, Mamelodi, Esperance, Wydad, Berkane na sana ubingwa wa Africa sasa nyie hamna nyuma wala mbe
Simba! Unatakaje bwana utopolo?
Nyie hamna tofauti na Azam ni washiriki kwenye ligi
 
Mkuu bingwa wa NBC premier league anapewa bei gani na Caf confederation cup finalist anapewa kiasi gani weka hapa viwango vyao ili tujue nani amepata hasara kati yao kwa misimu minne iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…