ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wewe mwenye akili uliona wapi mtoto wa miaka 11 yupo form 3 darasa la saba kamaliza ana miaka mingapiHiv wew una akil sawa sawa lakin ,nyumban kweny watoto wanaanza primary wakiwa na miaka 14?? Badiliken tushatoka huko,au ndo nyie ambao mpaka Sasa raise mnaemjua ni nyerere tu??
Labda amesoma QT primary [emoji23][emoji23]Ni wazi wewe akili huna halafu hata hesabu zinakupiga chenga halafu la tatu acha kudanganya watu humu hakuna mtoto mwenzio humu. Kama wewe ulidanganywa na ukadanganyika basi utakuwa ni mpuuzi peke yako hakuna mtu atakayekubali upuuzi wako humu. Hakuna mtu aliyezaliwa 2011 halafu saivi awe form three. Kama wewe hauna akili basi usidhani wote hawana akili kama wewe
Nilidhani ni swali la watu wazima, ili nimwambie kuwa sisi tuna msemaji wetu wa timu. Yeye ndio huwa anajibu maswali yote.1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?
2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?
Brine [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Ability ya brine yako imeishia hapo ??
Kumbe hazimo [emoji3064][emoji3064] brine ina kaa wapi mwilini?Ability ya brine yako imeishia hapo ??
Mkuu achana nae huyo.Naomba nipe mfano wa mtoto wa miaka miwili aliyeanza darasa la kwanza. Usione humu jf ni sehemu ya kuropoka tu kama upo Facebook. Yaani unaonesha jinsi gani ulivyo mdogo kiumri mpaka kiakili. Hivi unamjua mtoto wa miaka miwili wewe?