Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?
2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?
Kwani wewe mwenyewe uko kidato cha ngapi? Halafu haya maswali ya kitoto si mlitakiwa muulizane huko huko shuleni kwenu? Huku kwa watu wazima yamefuata nini?