Washabiki wa Yanga njooni mjibu maswali haya

1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?

2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?

Kwani wewe mwenyewe uko kidato cha ngapi? Halafu haya maswali ya kitoto si mlitakiwa muulizane huko huko shuleni kwenu? Huku kwa watu wazima yamefuata nini?
 
Kitu gan kilimfanya atemwe kwenye kikos Cha taifa Cha Congo??,na je kwa hyo nyiny Kaz yenu ni kuchukua waliotemwa kwenye kikos Cha taifa??
Congo Wana Vipaji Vingi Vya Soka Mpaka Wengine Hawajui Wawafanyie Nn Lakini Sio Kwamba Wasiocheza Hawajui Au Viwango Vibovu Striker Kama Mayele Anawekwa Nje Ya Uwanja Na Mastrike Haswa Akina Mbokani Na Bakambu Ambao Wote Wamecheza Ligi Kubwa Za Ulaya Au Mfano Mwingine Ukimuangalia Mchezaji Kama Bangala Hana Namba Pale Congo Lakini Kazi Yake Uwanjani Tunajua.
 
Hiv wew kuuelew mpira ulianza ukiwa na umri gan??? Achen kukwepa aibu,mtoto Kama Ana miaka 3 anakuwa na ufaham kuhusu mpira ??
Wewe ndo huna uelewa maana lapili ni mtoto anayejua anataka nini.
 
Congo Wana Vipaji Vingi Vya Soka Mpaka Wengine Hawajui Wawafanyie Nn Lakini Sio Kwamba Wasiocheza Hawajui Au Viwango Vibovu Striker Kama Mayele Anawekwa Nje Ya Uwanja Na Mastrike Haswa Akina Mbokani Na Bakambu Ambao Wote Wamecheza Ligi Kubwa Za Ulaya Au Mfano Mwingine Ukimuangalia Mchezaji Kama Bangala Hana Namba Pale Congo Lakini Kazi Yake Uwanjani Tunajua.
Sasa kama hawaitwi tu congo hapo taifa ambalo hata kufuzu tu kombe la dunia mtihani kweli kuna striker humo?? Yaani kucheza labda ni hatua kubwa kulingana na uwezo wake kweli ndio ashindwe hata kuitwa tu akasugue benchi kama mwenzie Diarra anayeitwa mara kwa mara kusugua benchi kwenye kikosi cha Mali
 
mkuu, je inonga ni raia wapi kama sio Congo? Vipi mbona haitwi? Vipi kuhusu Mugalu mbona alifanya vizuri msimu uliopita akiwa Simba mpaka kufikia kuwania Ufugaji bora lakini uliwahi kumuona akiitwa timu ya taifa ya Congo?
 
1. Wanafunz wa kidato cha tano wanauliza kuwa tangu waanze form one mpaka walimaliza Form Four hawajawahi kuona Yanga unachukia ubingwa!! Weng wao wanashaur ishuke daraja,je mnawaambia nn Hawa watoto?

2. Je, hampati aibu kushabkia Tim ambayo haina mbele Wala nyuma?

You are an idiot, you should feel ashamed posting those rubbishes
 
Sasa kama hawaitwi tu congo hapo taifa ambalo hata kufuzu tu kombe la dunia mtihani kweli kuna striker humo?? Yaani kucheza labda ni hatua kubwa kulingana na uwezo wake kweli ndio ashindwe hata kuitwa tu akasugue benchi kama mwenzie Diarra anayeitwa mara kwa mara kusugua benchi kwenye kikosi cha Mali
Hivi Wewe Una Washambualiaji Kama Bakambu, Jackson Muleka, Mbokani, Yannick Bolasie, Meshack Elia, Benik Afobe Na Yoanne Wissa....Sasa Mayele Atakaa Wapi Hapo? Wote Hao Wanacheza Ligi Kubwa Nje.
 
Sasa mbona ulikuwa unakataa mdau pale juu aliposema Mayele hata Congo tu hawamjui,
Yaani kwamba hata ukiweka mastriker 10 wa nchi yake yeye bado anaweza asiwepo halafu nchi yenyewe ni Congo sasa hapo kweli kuna striker tishio
 
mkuu, je inonga ni raia wapi kama sio Congo? Vipi mbona haitwi? Vipi kuhusu Mugalu mbona alifanya vizuri msimu uliopita akiwa Simba mpaka kufikia kuwania Ufugaji bora lakini uliwahi kumuona akiitwa timu ya taifa ya Congo?
Nilikuwa namjibu aliyekuwa anampa sifa Mayele kama world class player kisa eti amefunga goli 9 kweye mechi 16 kwa upande wangu Mugalu na Inoga ni wachezaji wa kawaida tu na wanastahili kutokuitwa kwenye timu yao ya Taifa ya Congo kama ilivyo kwa Mayele na Djuma Shabani
 
Nasikia Mohamedi amewaambia Simba ni miongoni mwa timu 10 tajiri Africa😀🚶🚶
 
Sasa mbona ulikuwa unakataa mdau pale juu aliposema Mayele hata Congo tu hawamjui,
Yaani kwamba hata ukiweka mastriker 10 wa nchi yake yeye bado anaweza asiwepo halafu nchi yenyewe ni Congo sasa hapo kweli kuna striker tishio
Wewe Kumbe Hukumuelewa Huyo Mdau Wako Yeye Alikuwa Akimaanisha Mayele Congo Hawamtambui Kabisa Kana Kwamba Hajawahi Hata Kucheza Iyo National Team, Ndo Maana Nikampa Mfano Kama Jamaa Alishakuja Hapa Na Congo Na Akamtungua Manula Wenu Pale Kwa Mkapa...
 
Nilikuwa namjibu aliyekuwa anampa sifa Mayele kama world class player kisa eti amefunga goli 9 kweye mechi 16 kwa upande wangu Mugalu na Inoga ni wachezaji wa kawaida tu na wanastahili kutokuitwa kwenye timu yao ya Taifa ya Congo kama ilivyo kwa Mayele na Djuma Shabani
Af Wewe Mimi Sijasema Mayele Ni World Class Player Nilichokuwa Napinga Mimi Ni Kusema Mayele Congo Hawamtambui Wakati Alishawahi Kuja Na Timu Ya Congo Hapa Bongo Na Akamtungua Manula Wenu Na Alikuwa Ni Mchezaji Wa Timu Iliyochukua Ubingwa Wa Ligi Nchini Humo Na Akiwa Kama Mfungaji Bora Namba Mbili Kwa Kuzidiwa Goli Moja Na Wa Kwanza Af Kolo Anasema Mayele Congo Hawamjui.
 
Naomba nipe mfano wa mtoto wa miaka miwili aliyeanza darasa la kwanza. Usione humu jf ni sehemu ya kuropoka tu kama upo Facebook. Yaani unaonesha jinsi gani ulivyo mdogo kiumri mpaka kiakili. Hivi unamjua mtoto wa miaka miwili wewe?
Kuna mtoto wa rafk yangu kazaliwa mwaka 2011 saiz Yuko form three,huyu atakuwa alianza primary akiwa na miaka mingap ???,Wew inaonekana unazungumzia Dunia ya zaman Sana ambako watu washatoka muda mrefu.Badilika mkuu
 
Kwa hyo alipokuja kwa mbumbumbu ndo akaonekana kinara
 
Kuna mtoto wa rafk yangu kazaliwa mwaka 2011 saiz Yuko form three,huyu atakuwa alianza primary akiwa na miaka mingap ???,Wew inaonekana unazungumzia Dunia ya zaman Sana ambako watu washatoka muda mrefu.Badilika mkuu
Katafte wajinga wenzako uwaambie huu upuuzi kwahio huyo mtoto ame maliza darasa la saba na miaka 8? huoni aibu
 
Hiv wew una akil sawa sawa lakin ,nyumban kweny watoto wanaanza primary wakiwa na miaka 14?? Badiliken tushatoka huko,au ndo nyie ambao mpaka Sasa raise mnaemjua ni nyerere tu??
 
Katafte wajinga wenzako uwaambie huu upuuzi kwahio huyo mtoto ame maliza darasa la saba na miaka 8? huoni aibu
Haka katoto ni kapuuzi mno anadhani humu ni kama Facebook ni kuropoka tu. Jana alisema eti siku hizi watoto wa miaka miwili wanaanza darasa la kwanza. Nikumpuuza sana nikaona ni mtu ambaye yupo JF kwa bahati mbaya
 
Kuna mtoto wa rafk yangu kazaliwa mwaka 2011 saiz Yuko form three,huyu atakuwa alianza primary akiwa na miaka mingap ???,Wew inaonekana unazungumzia Dunia ya zaman Sana ambako watu washatoka muda mrefu.Badilika mkuu
Ni wazi wewe akili huna halafu hata hesabu zinakupiga chenga halafu la tatu acha kudanganya watu humu hakuna mtoto mwenzio humu. Kama wewe ulidanganywa na ukadanganyika basi utakuwa ni mpuuzi peke yako hakuna mtu atakayekubali upuuzi wako humu. Hakuna mtu aliyezaliwa 2011 halafu saivi awe form three. Kama wewe hauna akili basi usidhani wote hawana akili kama wewe
 
Back
Top Bottom