Washamba wamemsajili Aziz K kwa Tsh Milioni 400/ wanatamba, ila Wastaarabu wamemsajili Okra kwa Tsh Milioni 460 wala hawatambi

Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.

Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri Kijana Afrika ambaye 75% ya Maisha yake ni Ulaya na siyo kama Wenu aishie Posta na Kariakoo Kutwa akatuma haraka mno Dola 200,000 za Kimarekani ( Tsh Milioni 460/ ) za Tanzania na upesi Dogo Okra akasinya ( akasaini ) Chuo Kikuu cha Mpira ( Soka ) Tanzania Simba Sports Club.

Vyuma vingine Vitatu ( Mmoja ni Beki Tegemeo wa Kocha Rigobert Song na Cameroon yake ) wa Kiwango cha CAF na FIFA vinashuka muda wowote kuanzia sasa Kudadadeki zenu. Tanzania itasimama na ndipo mtajua kuwa Simba SC siyo Level yenu Kiusajili, Kiutendaji na Kiumakini.
Tusiandikie mate wakati wino upo
 
Wewe ndio maana halisi ya kolo
Wewe ndiyo tafsiri sahihi ya nyani
Screenshot_20201103-091628.jpg
 
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.

Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K na BM wenu mara 100 Kiuwezo ( Kiuchezaji ) kwa kwenda na Tsh Milioni 400/ Kamili haraka sana Tajiri Kijana Afrika ambaye 75% ya Maisha yake ni Ulaya na siyo kama Wenu aishie Posta na Kariakoo Kutwa akatuma haraka mno Dola 200,000 za Kimarekani ( Tsh Milioni 460/ ) za Tanzania na upesi Dogo Okra akasinya ( akasaini ) Chuo Kikuu cha Mpira ( Soka ) Tanzania Simba Sports Club.

Vyuma vingine Vitatu ( Mmoja ni Beki Tegemeo wa Kocha Rigobert Song na Cameroon yake ) wa Kiwango cha CAF na FIFA vinashuka muda wowote kuanzia sasa Kudadadeki zenu. Tanzania itasimama na ndipo mtajua kuwa Simba SC siyo Level yenu Kiusajili, Kiutendaji na Kiumakini.
Mashabiki wa Simba na Yanga wote ni washamba tu. Hapo mshamba mmoja anamcheka mshamba mwenzake wakati wote wametapeliwa.
 
Back
Top Bottom