Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Yule hafundishiki mzee lazima atamwambia mwal wake "we suppose to change the direction"
 
Ndugu, hicho sio kiingereza, ni lugha flani inashabihiana na kiingereza.
 
Wanasayansi hawahitaji kujua sana lugha hizo mkuu! Ungeniambia kada za sheria na nyingine lakini watu hao wapo hivohivo na wanaeleweka kitaifa na kimataifa! Endelea kukosoa sisi kazi inaendelea.
 

... halafu nukuu yako feki; hizo comma umeweka wewe; kwenye original speech hazimo kabisa!
Hata hivyo kajitahidi
Kajitahidi sana ujumbe wake mzuri sana
 
Sasa mmetoka kwenu udikteta mko kwenye kiingereza, mkifika kwenye viatu anavyovaa mtuamshe.

Tumelala tunasubiri 28 tuue mtu bila kumwangalia usoni.
 
Wanasayansi hawahitaji kujua sana lugha hizo mkuu! Ungeniambia kada za sheria na nyingine lakini watu hao wapo hivohivo na wanaeleweka kitaifa na kimataifa! Endelea kukosoa sisi kazi inaendelea
Hiyo hoja ni ya kuzamani na imeshapitwa na wakati kitambo. Badilika, hii karne nyingine. Isitoshe Rais ni icon ya nchi. Rais zuzu wa aina hii ni fedheha kwa nchi. Ni afadhali aongee kiswahili kuliko kuliabisha Taifa. Hovyooo kabisa huyu jamaa.
 
Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine tu.

Kwanini wasimtafute yule jamaa anayeitwa simba.....anayetumia kanuni zake na anasema kwa siku chache unaongea vizuri tu.

Kama wanaweza kumlipa Ali Kiba, Diamond na wasanii wote wale, why not wasimlipe yule jamaa amfundishe lugha ya malikia watuondolee aibu hii!?
 
Yani ushamba wa waafrika wa Tanzania umevuka mipaka kwani lazima mtu aongee kama mwingereza. Mbona ameeleweka
 
Wanasayansi hawahitaji kujua sana lugha hizo mkuu! Ungeniambia kada za sheria na nyingine lakini watu hao wapo hivohivo na wanaeleweka kitaifa na kimataifa! Endelea kukosoa sisi kazi inaendelea
Unajua utafiti na thesis alitumia kiingereza? Wewe unaweza kusema mkulima hahitaji kujua kutumia jembe? Achane kuficha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…