Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Hahaha alichukua siku saba mapumziko kupractice hotuba ya kiingereza.

Uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA wakija utasikia mitano tena!

Sijui hata kama nao walielewa, maana wanapiga makofi tu.
Ni kweli mitano tena hana mpinzani Afrika. Pamoja na kiingereza kibovu lakini wanaokijua wanapishana kuja kupata uxoefu wa namna ya kusimamia rasilimali.Kila anayekuja anaahidi kushika koti la Chuma ili watembee pamoja. Wamegundua kuwa Tanzania inapaa kwa kasi kiuchumi. Malawi hawajaamini kama ile ni stand ya mabasi. Ni zaidi ya an international airport. Sasa nyie mbaki mkijisifu kujua grammatical English CCM hiyooooo inapaa
 
Rais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.

Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu wakalimani wapo.

Nukuu:
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"

God is the one of powerful to the directors in every directions.
 
Wadogo zangu, mnachopaswa kujua ni kwamba kiingereza Ni Kama mwanamke mke. Unaweza kumpeda mwanamke wakati yeye hakupendi! Ukiona hivyo njia pekee ni kuweka lager! Ukiweka tot 3 za whiskey, au faru John, au the Kik, au bingwa kiingereza kitafumka mithili ya kumbikumbi wanachomoka kutoka mashimo ya kichuguu. Tatizo la mwenzetu akifanya hivo huenda ukakumbana na stupid na pumbavu za kufamtu!
 
Sasa bwana mdogo huyu mzee wetu akiacha kuongea kiingereza kwenye hadhara atakiongelea wapi bhagosha

Halafu kumbuka huyu mzee kapiga kitabu seminary ya wakatoliki kwahiyo hivyo vijimakosa hapo juu atakua amepitiwa tu si unajua yule ni mzee kiumri kwa sasa
 
Aliwahi kusema kuwa hiyo lugha yeye haijui vizuri? na kama angesema hivyo unadhani ungeweza kuona uzi wowote hapa. Halafu hii ni kawaida wala usipanic, ukishakuwa kiongozi wa nchi hata akichapia sentensi 1 lazima uwe mjadala nchi nzima sio kwa tz tu hata marekani

Kichwa cha thread ni rais ashauriwe asitumie kiingereza hadharani. Washauri wa rais hawawezi kumshauri mambo ya kipuuzi kama hayo. Huyo ni mtu huru ana maamuzi ya aongee lugha gani, wapi na kwa nini.
 
Pelekeni taarifa na kwa katibu wenu mwenezi Robert Amsterdam ili ashitaki icc
 
Hujaelewa nilichoandika!Nimeandika alichokuwa anasimulia jamaa bila ya kuangalia ni sahihi au laa
Semantiki, sintakisia na makachumbari mengine people huwa inawekewa 's' hapo ndio swali langu lipo, sitaki kujua Peoples ya chadema au peoples ya ccm
 
sasa bwana mdogo huyu mzee wetu akiacha kuongea kiingereza kwenye hadhara atakiongelea wapi bhagosha

Halafu kumbuka huyu mzee kapiga kitabu seminary ya wakatoliki kwahiyo hivyo vijimakosa hapo juu atakua amepitiwa tu si unajua yule ni mzee kiumri kwa sasa
 
Attachments

  • fnhN2xrQDW9lt53R.mp4
    131.4 KB
Ni kweli mitano tena hana mpinzani Afrika.Pamoja na kiingereza kibovu lakini wanaokijua wanapishana kuja kupata uxoefu wa namna ya kusimamia rasilimali.Kila anayekuja anaahidi kushika koti la Chuma ili watembee pamoja.Wamegundua kuwa Tanzania inapaa kwa kasi kiuchumi.Malawi hawajaamini kama ile ni stand ya mabasi.Ni zaidi ya an international airport. Sasa nyie mbaki mkijisifu kujua grammatical English ccm hiyooooo inapaa
Hahaha hata chooni watu hupishana kwenda na kutoka, haimaanishi kila aendaye anapenda kuishi huko.

Your excellency...I am preaching, but I can't reach you...!
 
Hahahahaaaa... (alisikika akicheka mtoto wa darasa la pili wa English medium). Anapenda sana kujifaragua na kutia watu million 60 aibu ya bure. Aongee tu Kiswahili.
Naamini kuna hotuba anaandikiwa lakini hataki kuzisoma. Avumiliwe, japo ni aibu kwa wasaidizi wake.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nani kasema kuna binadamu mkamilifu? Naomba tusichanganye mapungufu ya kibinadamu ya kawaida na u-kiazi wa darasani! Yaani mtu asome mpaka level ya Phd tena kwa kiingereza, halafu awe mwalimu afundishe kwa kiiingereza na kisha awe waziri kwa muda mrefu tu na bado simple english inamshinda kama mtoto wa darasa la saba? Hapana. Kuna kitu ambacho hakiko sawa kabisa kwenye mfumo wetu wa elimu. Na huyu tumebahatika kujua kwa sababu tu ni kiongozi. This is serious issue ndugu yangu.
Maajabu kweli haya!!

Goja niku_ proove wrong kwa ulicho challenge na my line of argument will be for the sake of showing how we have a problem in our education system. Umesema "this is serious issue" hiki nacho bado si kiingereza sanifu na fasaha, huwezi ukaandika kiingereza cha ajabu namna hiyo ndg kwani umeonekana wewe ni an English expert, hukupaswa kuacha kuweka ARTICLE"a" kabla ya nomino"serious".

Cha ajabu unaweza kufuatilia hata kwangu nilichokiandika bado nikawa nimekosea sehemu, tatizo siyo mie au wewe ama yule , something to note herein is, English is not our mother tongue, it's a foreign language and a lingua franca for most of us, it's unaberable to meet these sort of weaknessess in this language, it's not even a motherese for our inborn children, it's therefore acquired as a third language in Tanzania, (IN MOST CASES)

Kuhusu mshangao wa mtu kumkuta ni msomi lakini bado he's/she's incompetent in the usage of this language, nitaomba siku moja nitoe uzi nieleze kwanini hii inatokea , kikubwa tu ni kwamba katika mastering of any language, there are underlining factors which may delay/posit some difficulties ,mfano lugha nyingi za kigeni zimekuwa ACQUIRED ABOVE 18 AGES na mtoto/mtu anayetaka kujifunza lugha katika umri huo mastery yake inakuwa ndogo mno, kwani mtu atajifunza lugha na kuwa mahiri katika umri below 18 ages. I wish i get time to share this!
 
Hata siamini kama kweli amezungumza hivyo, kama ni kweli, Tz lazima tukubali mabadiliko.
 
Wewe kwa upeo wako mdogo ndiyo unaona ni hoja ya kijinga. Hapa tunazungumzia mtu aliyeandika thesis ya kitaalam ya kuhitimu Phd baada ya kufanya utafiti na baadae akawa mwalimu akifundisha kwa kutumia lugha ya kiingereza. Aliwezaje kumudu yote hayo wakati hawezi kuongea kiingereza ''cha kuridhisha''? Na wala siongei kile kizuri. Nimekutana na wasomi wengi ambao english inawapiga chenga lakini wakizungumza unaona kabisa wana mwelekeo wa usomi na unaridhika. Yeye ni mweupe pee. Hata maswali rahisi anashindwa kuelewa sembuse kujibu! Something very very wrong with his education!

Thesis yenyewe aliandikiwa
 
Maajabu kweli haya!!

Goja niku_ proove wrong kwa ulicho challenge na my line of argument will be for the sake of showing how we have a problem in our education system. Umesema "this is serious issue" hiki nacho bado si kiingereza sanifu na fasaha, huwezi ukaandika kiingereza cha ajabu namna hiyo ndg kwani umeonekana wewe ni an English expert, hukupaswa kuacha kuweka ARTICLE"a" kabla ya nomino"serious".

Cha ajabu unaweza kufuatilia hata kwangu nilichokiandika bado nikawa nimekosea sehemu, tatizo siyo mie au wewe ama yule , something to note herein is, English is not our mother tongue, it's a foreign language and a lingua franca for most of us, it's unaberable to meet these sort of weaknessess in this language, it's not even a motherese for our inborn children, it's therefore acquired as a third language in Tanzania, (IN MOST CASES)

Kuhusu mshangao wa mtu kumkuta ni msomi lakini bado he's/she's incompetent in the usage of this language, nitaomba siku moja nitoe uzi nieleze kwanini hii inatokea , kikubwa tu ni kwamba katika mastering of any language, there are underlining factors which may delay/posit some difficulties ,mfano lugha nyingi za kigeni zimekuwa ACQUIRED ABOVE 18 AGES na mtoto/mtu anayetaka kujifunza lugha katika umri huo mastery yake inakuwa ndogo mno, kwani mtu atajifunza lugha na kuwa mahiri katika umri below 18 ages. I wish i get time to share this!
Ukirudia kusoma unaelewa ulichokiandika? Wewe ni mfano unaoishi wa victims wa elimu ya kibongobongo!
 
Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.

Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.

KAMA ALISHINDWA KUFUNDISHWA HIYO LUGHA MPAKA AKAPATA HIZO SHAHADA ATAFUNDISHIKA LEO UZEENI?
 
Back
Top Bottom