Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Ingekua ni Rais wa nchi nyingine ameongea kiswahili kibovu msingemcheka wala kushangaa ila mtampongeza kwa kujitahidi.

Ila kwa sababu za kisiasa mmeamua kumshikia bango JPM, anyway ndio siasa zilivyo.
Kwan wanaokosea, kiswahili ni lugha ya kufundishia kwao? Huu ni utetez wa kitoto sn lazima tukubali bwana mkubwa ana shida kwenye hii lugha....ni wajibu wake kubadilisha mitaala ili tutumie lugha itakayoeleweka kufundishia.Ni aibu kwa kariba yake kushindwa kuzungumza kiingereza cha kawaida.
 
Wewe kwa upeo wako ndiyo unaona ni hoja ya kijinga. Hapa tunazungumzia mtu aliyeandika thesis ya kitaalam ya kuhitimu Phd baada ya kufanya utafiti na baadae akawa mwalimu akifundisha kwa kutumia lugha ya kiingereza. Aliwezaje kumudu yote hayo wakati hawezi kuongea kiingereza ''cha kuridhisha''? Na wala siongei kile kizuri. Nimekutana na wasomi wengi ambao english inawapiga chenga lakini wakizungumza unaona kabisa wana mwelekeo wa usomi na unaridhika. Yeye ni mweupe pee. Hata maswali rahisi anashindwa kuelewa sembuse kujibu! Something very very wrong with his education!
Nakubali mkuu hapo kwenye kuelewa tu maswali mara kadhaa amekua akipuyanga sasa kama tu kuelea swali ni tatizo basi kujibu ndio zaidi, kwakweli akiwa kama raia number one anatutia aibu sana kama taifa

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hoja kama hizi mpambe nambari moja Kada Pascal aka" nikaze tuu wanaweza kuniteua" hawezi kujitokeza maana yeye anajitahidi kuandika na kusoma ....hiyi kashifa yabila kuongea Kidhungu fresh wakati ni Phd holder ndio maana siumizwi kichwa kwa nini Sanane alipotea najua alishika kolodan za mkuu.
 
Tunatarajia azungumze Kiingereza cha Tanzania lakini sio level hii ya broken Tz English. Nimesahau jina la yule profesa aliyemwandikia tasnifu ya phd!!

Why don’t you re write your sentence in english? Be example Mr...
 
Kama vyombo vya habari vya Malawi vimeichukuwa, leo magurupu ya WhatsApp yatapasuka mbavu kwa vicheko huko Lilongwe na Blantyre.

I think your comment should be in english! That will make more sense.....
 
IMG_20201008_191555_233.jpg

Peoples ndio kiingereza gani mkuu
 
Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.

Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Aibu kutokua muingereza au aibu ni kutokuongea kiingereza fasaha kama muingereza!!?

Mnatia huruma hamjui tuu mnavyojidhalilisha
 
Hii ni swala ni kubwa sana, haupaswi upanic
Kwan ukiongea kiingereza ukakosea kuna tatizo gani? Mbona waingereza wanakosea kiswahili? Tutaondoka lini huko kwenye ujinga huo? Kwa hiyo huo nao ni uzi?
 
Back
Top Bottom