Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Shida ipo wapi. Wazingu wenyewe Kiingereza ni shida. Kiswahili ni shida kwa wenzetu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kwamba toka sekondari mpaka ngazi ya PhD unatumia kiingereza halafu unakuja kuongea broken kiasi hikiNimefanya kazi na wazungu kutoka mataifa tofauti tofauti wanaongea kiswahili broken na wengine kiingereza broken bt wapo very happy and comfrotable about it.
Unakutana na Muhispania au Mrusi anapuyanga na Lugha ya Malkia na yupo comfortable na wazungu wenzake hawamcheki. Infact ht ss ngozi nyeusi tukipuyanga hawatucheki wala kutudharu.
Only African belives kuongea vzuri Lugha ya Malkia ndio sign of excellence.
Utumwa umetufanya tusijiamini na tuamini kua vya mzungu ndo mali.
Watu wana audacity ya kufungua thread ya ku mcritisize mtanzania mwenzao kisa tu haijaimaster lugha ya mzungu...no wonder wazungu hua wanatuita nyani.
Wazungu gani shida?Shida ipo wapi. Wazingu wenyewe kiingereza ni shida. Kiswahili ni shida kwa wezutu pia
Wewe kwa upeo wako ndiyo unaona ni hoja ya kijinga. Hapa tunazungumzia mtu aliyeandika thesis ya kitaalam ya kuhitimu Phd baada ya kufanya utafiti na baadae akawa mwalimu akifundisha kwa kutumia lugha ya kiingereza. Aliwezaje kumudu yote hayo wakati hawezi kuongea kiingereza ''cha kuridhisha''? Na wala siongei kile kizuri. Nimekutana na wasomi wengi ambao english inawapiga chenga lakini wakizungumza unaona kabisa wana mwelekeo wa usomi na unaridhika. Yeye ni mweupe pee. Hata maswali rahisi anashindwa kuelewa sembuse kujibu! Something very very wrong with his education!
Km umesoma shule zetu hizi za serikali utaelewa aina ya ufundishaji wao wa Lugha ya kiingereza bt km hujapitia siwezi kukulaumu.Shida ni kwamba Toka sekondari mpaka ngazi ya PhD unatumia kiingeleza halafu unakuja kuongea broken kiasi hiki. Akichapia mchina Wala siwezi kuwa na doubt
Alikua ana fundisha Chemistry kwa Kiswahili?Hakuwa mwalimu wa Kiingereza
Yani ushamba wa waafrika wa Tanzania umevuka mipaka kwani lazima mtu aongee kama mwingereza.. Mbona ameeleweka
Kwa hiyo tuchague anaejua kiinglishi sana ili aweze tu kuongea na wazungu au mi sijaelewa mantiki hapo
Mi mwenyewe graduate lkn kiinglishi changu mpka nisilibe na mkono bao,,,
Siku kiinglishi kikikamilisha daraja la busisi ntamtafuta ras simba chap
Chemistry hainaga mambo mengialikua ana fundisha chemistry kwa Kiswahili?
Kuna haja ya kuwachunguza wanafunzi wote wa Sengerema Sec wa kipindi cha Mwl Magu ili kujua mwenendo wao.Ex teacher, Phd holder, maajabu yanaendelea
Wenyewe hatuna habareeee HAPA KAZI TUU 💥💣🔥🔥🔥🔥Please mr would tell us in english?
Mabeberu wamechakachua speech ya mtukufu RaisHata siamini kama kweli amezungumza hivyo, kama ni kweli, Tz lazima tukubali mabadiliko.
What should I tell you in english? Your shambolic statements will never unveil the burning truth to our esteemed president that,what he speaks in english language is completely suckingPlease mr would tell us in english?
He is self-sustainedMzee Baba kajiuma ulimi tena? Hii ndiyo sababu hataki kusafiri nje?
Huwa hashauriwi.Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Aibu kutokua mu ingereza au aibu ni kutokuongea kiingereza fasaha kama muingereza!!?
Mnatia huruma hamjui tuu mnavyojidhalilisha
Mkuu nashukuru sana unmeleta hii Nada. Mimi mwenyewe siwezi kujitapa kuwa najua kiingereza vizuri pamoja na kubwa na ka bachelor lakini kusema ukweli PhD wa maganda ya korosho akiongea kiingereza huwa najiona nina nafuu sana. Kweli PhD kaongea kiingereza kibovu sana tena baadhi ya maneno umemfichia kuya nukuu. Shida yake ni pale anapo taka kuonesha kuwa ana kijua kiingereza hapo ndipo anapo ingia mkenge. Matamshi ni ya kiwango cha chini sana kwenye r anaweka l na kwenye l anaweka r. Yuko very poor kwenye tense na diction. Yaani ni shida hata Kiswahili chake pia ni kibovu sana. Nadhani lugha pekee anayo imudu vizuri ni Kisukuma