Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Unatetea nini we we?
Unajifanya huoni tatizo?
Huyu ni mwalimu by profession. Amefundisha miaka mingi shule mbalimbali Tanzania.
Alikuwa anafundishaje vijana wetu kama Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kufundishia shule za sekondari iwapo anashindwa kukiongea na kuandika kwa ufasaha ingalau kwa 75% tu?
Ufasaha wa lugha ni muhimu sana tunapokuwa tunaongea ama kuandika. Ukikosea tu kidogo, unakuwa umepotosha na ujumbe kwa wanaopaswa kuupata.
Ndiyo mnataka tuulee ujinga huu? NO WAY. HAPANA.
Aliipataje PhD yake huyu? Huyu ndiyo maana anaua watu kwa sababu hapendi huu udhaifu wake ulioko nyuma ya pazia uhojiwe!
Tatizo liko wazi kabisa, makosa yana na yanendelea kufanyika mchana kweupe halafu wewe unahusianisha na "vijana wa upinzani?"
Kama nyie wenyewe hamkosiani huko. Hamuoni matatizo.
Basi, kama nchi, we have a really big problem!!
Maana yake kama walioko serikalini hawaoni kuwa hili ni tatizo, basi watabaki kuwa wajinga na wapumbavu hivyo hivyo mpaka pale watakapokuwa wamenyang'anywa madaraka, wawe nje ya mfumo wa utawala ndipo watakapogundua na kusema;
"...alaaa, kumbe tulikuwa wapunbavu na wajinga hivi?"