Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliishi Ulaya lini na nchi gani?Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Duh! Hii lugha kweli ilikuja na meli na kabla haijatukaa sawa ikaondoka upesi na ndegeRais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish...
Hapo kaongea nini na kwa kutumia lugha gani bwasheRais Magufuli ni mtu anayependa Kiswahili na huwa anapambana sana kukidumisha na kukikuza lakini cha ajabu anapokuwa na wageni wasiofahamu Kiswahili, ana hulka ya kuongea kiswa-nglish.
Kiingereza ni lugha ya malkia na ilikuja na meli kwahiyo ni vizuri akaongea lugha ya taifa inayoeleweka sababu wakalimani wapo.
Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Hii aibu tuna nafasi ya kuiepuka tarehe 28.10.2020.The ball is in your handsNi aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Acha tumuulize Kangi LugolaNi Tanzania tu maajabu kama haya hupatikana. Sasa piga mahesabu darasani alikuwa anafundishaje!
Sasa kwanini ulazimishe kuongea lugha usiyoiweza wakati una nafasi ya kutumia lugha unayoimudu vyema.View attachment 1594492
Kudhani kujua kiingereza ni usomi bali ni ushamba na ulimbukeni ,ebu jaribu kumfuatilia Vladimir Putin
Sasa ndio kulinganisha na usomi? Kwaiyo msomi lazima hujue kiingereza?Sasa kwani ulazimishe kuongea lugha usiyoiweza wakati una nafasi ya kutumia lugha unayoimudu vyema.Nae ni hovyo tu
Mkuu lugha ya kufundishia Tanzania kutoka form one to phD ni kiingereza,sasa kama lugha inayotumika huijui niambie unatumia mbinu gani kuelewa unachofundishwa au unachosoma kwenye vitabu na mitihani unafanyaje? Please assistSasa ndio kulinganisha na usomi? Kwaiyo msomi lazima hujue kiingereza?
Hivi ndio vinini Sasa?
Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Ras Simba ana ofisi kila sehemu, kwanini anashindwa kukitolea ili kulinda heshima ya Taifa lake?
Uko wapi uzalendo wake?
Maendeleo hayana chama
Lakini Jiwe hadi PhD ni kiingereza. KWA NINI HAJUI ENGLISH. KWA NINI? ANATUAIBISHAKwani wazungu wote wanaongea kiswahili wanakijua kiswahili?au wazungu wote wanaongea kiingereza wanakijua kiingereza?Practice makes it perfect, mwacheni aendelee kukiongea apate uzoefu na confidence.
Mkuuuu Unaumia eeeh. Hata ukiteteaje watanzania tumeaibika. Jamaa hajui English licha ya PhD yake. Tutaficha sura zetu wapiiii? Tumekwisha kwa aibu.View attachment 1594492
Kudhani kujua kiingereza ni usomi bali ni ushamba na ulimbukeni ,ebu jaribu kumfuatilia Vladimir Putin
Hapa sikuelewa kabisaYour excellency i am just trying to preach but .... but I cant reach you
Ila wanajua Kichina walivhopatia huo Uinginia.....issue hapa inakuwaje unaharibu lugha uliyopatia elimu Hadi Phd kwa kiwango like.....haileti picha nzuri!Yeye alishasema ukisema yes au no inatosha.Ila nyie vitoto vya English medium mnasumbua sana.
Hachekwi kwa sababu ni Rais. Na mfano wako haufanani na uhalisia. Watu wanashangaa mtu ambaye kasoma mpaka kiwango cha Phd kiingereza ikiwa lugha ya kujifunzia na kufanyia mitihani, na akawa mwalimu akifundisha kwa kutumia kiingereza, lakini hakijui kiingereza kwa kiwango kile. Mimi binafsi namhurumia tu kwani si tatizo lake binafsi bali ni tatizo la mfumo wa elimu yetu.Ingekua ni Rais wa nchi nyingine ameongea kiswahili kibovu msingemcheka wala kushangaa ila mtampongeza kwa kujitahidi.
Ila kwa sababu za kisiasa mmeamua kumshikia bango JPM, anyway ndio siasa zilivyo.