Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema mwenyewe!!!Acha uongo. Magufuli hajawahi kuishi Ulaya.
Hizo sio excuse. Kama hujuo hujui tuHakuwa mwalimu wa kiingereza na hiyo Phd yake sio ya lugha hivyo hamna tatizo hapo.
Tuwekee hapa original speech ili tulinganishe.... halafu nukuu yako feki; hizo comma umeweka wewe; kwenye original speech hazimo kabisa!
Ndalichako nasikia alikuwa na akili sana akapewa scholarship canada na kurukishwa hadi u PHD ila English yake dah yaani ya Diamond, Samatta na Harmonise zipo mbali sanaNi aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.
Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Ndiyo maana mtoa mada katoa ushauri kwamba aachane na hiyo lughaWatanzania wengi hasa tuliosoma masomo ya sayansi hatuko fluent sana kwenye kiingereza cha maongezi, lakini hilo halituzuii kuwa best candidates kwenye taaluma zetu. Mfano, magu anaweza kuwa mwalimu mzuri sana wa chemistry kutokana na recommendations za wanafunzi anaowafundisha.
Maana yake ni kwamba, anaweza ku-deliver contents za hilo somo ambalo mostly linatumia terminologies na akaeleweka sana na wanafunzi wa chemistry. In the same sence anao uwezo mkubwa tu wa kufanya presentation kwa wanataaluma kwenye field yake wakamwelewa na hata kumuuliza maswali au any clarification, na aka-respond bila shida yoyote. Mfano, nilipowasilisha draft yangu ya thesis kwa masupervisor wangu ambao ni waingereza hawaku-recommend kabisa kuipeleka kwa editors wa lugha kwa sababu ilikuwa super.
Sijigambi kuwa nipo vizuri sana kwenye kimalkia hasa ninapotakiwa nifanye maongezi ya kawaida, lakini nilipokuwa nafanya discussion na supervisors wangu walisema my english is good na wananielewa sana. Kuthibitisha hili nilishapata a number of best presenter awards kwenye international conferences ambazo zinakuwa zimefurika wazungu. Haya sasa na wengine tupeni experience yenu kwenye kimalkia ili twende sawa.
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza!PhD holder? Ama kweli ukipenda kipofu utaita chongo!
Tell them, wa Mbowe wanasikitisha Sana. Hivi mwenyekiti wenu anajua Kiingereza kweli? Maana kwenye hilo genge lake, vilaza wakutosha.Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Kutokujua sio tatizo...., hakuna ajuaye yote...., tatizo ni pale kufanya makosa ambayo yangeweza kuzuilika..., since hii kitu alikiandaa na alijua kwamba atakifanya kweli alishindwa kumuita mdau yoyote aweke sawa mambo ili wadau waweze kuelewa anachomaansha?Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Ninaloona kwa magu hapendi kusoma hotuba, wanachotakiwa kufanya wasaidizi wake ni kumwandikia summary au point anazotakiwa kuzisemea katika matukio mbalimbali, whether ni kwa kiingereza au kiswahili. Hata mwl. Nyerere alipokuwa anahutubia alikuwa anashika kikaratasi mkononi ambacho anakuwa ameandika points ambazo ilikuwa muhimu kuzielezea katika hadhara husika.ndiyo maana mtoa mada katoa ushauri kwamba aachane na hiyo lugha
Ni Tanzania pekee Duniani, nd yo tunaongozwa na Rais wa aina hii