Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Washauri wa Rais Magufuli, mshaurini aache kutumia Kiingereza kwenye hadhara

Wanasayansi hawahitaji kujua sana lugha hizo mkuu! Ungeniambia kada za sheria na nyingine lakini watu hao wapo hivohivo na wanaeleweka kitaifa na kimataifa! Endelea kukosoa sisi kazi inaendelea
Not true. Hata sayansi inafundishwa kwa lugha, iwe kiingereza au kiswahili au kichina.

Hiyo PhD (kama anayo kweli) yake si iliandikwa kwa kiingereza? Tena inaweza kuwa na pages zaidi ya 200.
 
Mkuu nashukuru sana unmeleta hii Nada. Mimi mwenyewe siwezi kujitapa kuwa najua kiingereza vizuri pamoja na kubwa na ka bachelor lakini kusema ukweli PhD wa maganda ya korosho akiongea kiingereza huwa najiona nina nafuu sana. Kweli PhD kaongea kiingereza kibovu sana tena baadhi ya maneno umemfichia kuya nukuu. Shida yake ni pale anapo taka kuonesha kuwa ana kijua kiingereza hapo ndipo anapo ingia mkenge. Matamshi ni ya kiwango cha chini sana kwenye r anaweka l na kwenye l anaweka r. Yuko very poor kwenye tense na diction. Yaani ni shida hata Kiswahili chake pia ni kibovu sana. Nadhani lugha pekee anayo imudu vizuri ni Kisukuma
 
Ni aibu kwa rais wa nchi kama Tanzania, ambaye amesoma mpaka chuo kikuu kwa kiingereza, akaishi ulaya, akafanya Phd kwa kiingereza halafu hajui kuongea kiingereza fasaha.

Rais wa nchi ndio kioo cha nchi, kiingereza kibovu cha rais wetu ni aibu kwetu sisi sote. Wasaidizi wa rais wako wapi kumsaidia kumfundisha kiingereza kizuri.
Unajua mambo ya kupeana vyeo kifugu, kichama, na upendeleo yaani WHO KNOWS WHO NOT WHO KNOWS WHAT! unaweza kuta nao uwezo wao ni WA chini sana sasa watamsaidiaje?
 
Kwan ukiongea kiingereza ukakosea kuna tatizo gani? Mbona waingereza wanakosea kiswahili? Tutaondoka lini huko kwenye ujinga huo? Kwa hiyo huo nao ni uzi?
Ungekuwa sio Uzi, usingeuchangia. Inaumaaaa, ila inabidi uzoeeeee
 
Duuh! Mkuu huna dogo? Mheshimiwa pale alikuwa anachomekea tu. Huoni leo hajatumia neno lake maarifu "'catalyst"!!
 
Nimefanya kazi na wazungu kutoka mataifa tofauti tofauti wanaongea kiswahili broken na wengine kiingereza broken bt wapo very happy and comfrotable about it.

Unakutana na Muhispania au Mrusi anapuyanga na Lugha ya Malkia na yupo comfortable na wazungu wenzake hawamcheki. Infact ht ss ngozi nyeusi tukipuyanga hawatucheki wala kutudharu.

Only African belives kuongea vzuri Lugha ya Malkia ndio sign of excellence.
Utumwa umetufanya tusijiamini na tuamini kua vya mzungu ndo mali.

Watu wana audacity ya kufungua thread ya ku mcritisize Mtanzania mwenzao kisa tu haijaimaster lugha ya mzungu. No wonder wazungu hua wanatuita nyani.
 
Nimefanya kazi na wazungu kutoka mataifa tofauti tofauti wanaongea kiswahili broken na wengine kiingereza broken bt wapo very happy and comfrotable about it.

Unakutana na Muhispania au Mrusi anapuyanga na Lugha ya Malkia na yupo comfortable na wazungu wenzake hawamcheki. Infact ht ss ngozi nyeusi tukipuyanga hawatucheki wala kutudharu.

Only African belives kuongea Lugha ya Malkia ndio sign of excellence.
Utumwa umetufanya tusijiamini na tuamini kua vya mzungu ndo mali.
Sasa alikuwa na haja gani ya kuongea kingereza wakati hawezi?
 
Sasa alikuwa na haja gani ya kuongea kingereza wakati hawezi?
Kwani wazungu wote wanaongea kiswahili wanakijua Kiswahili? Au wazungu wote wanaongea kiingereza wanakijua Kiingereza? Practice makes it perfect, mwacheni aendelee kukiongea apate uzoefu na confidence.
 
Mmekosa hoja....Nyie hata kiswahili hamjui sembuse kingereza....!!Upinzani wengi ni vijana mpechempeche marioo wa mjini wapenda vya bure,kingereza wamekijulia Kwenye movie na nyimbo za kina Cellin Dione...Wanaume wa kweli hawezi ongea hoja za kijinga kama hizi...!!
Lakini wamejua ata kuongea....yan ata walimu wenye vyeti fekii walio fukuzwa wanamshindaa asee hii ni hatariii
 
Back
Top Bottom